HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Umesoma nini? aisee wewe kama unakutaga ulivyosoma kwenye oral hongera....sisi kada yetu maswali huwezi kupredict
Niamini dada yangu humu ndani kila mtu anataja database so bure tu waliingia oral na wanaamini wapo. Mwamba Mti mnene shuhuda wa hili tulikuwa nae oral Nov 23 nafikir atakuwa anaelewa ninachokiongea
 
Niamini dada yangu humu ndani kila mtu anataja database so bure tu waliingia oral na wanaamini wapo. Mwamba Mti mnene shuhuda wa hili tulikuwa nae oral Nov 23 nafikir atakuwa anaelewa ninachokiongea
Nakuelewa vizuri sana mkuu
 
hapana mpka ufaulu

Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
Wangekua wanatoa majibu ya oral ili watu wajue kama wamefaulu kama ilivyo kwa written maana kuna watu akiangalia hajapata placement Mara kadhaa baada ya kuomba Mara wakadhaa huwa anaachana kabisa na kuomba kazi na kuacha kufuatilia tovuti za PSRS lakini MTU akijua yupo kwenye database anaweza Mara kwa Mara kupitia tovuti aone kama atabahatika, kuliko hivi,wengine wanaweza kuja kupata placement kipind ambacho hawajategemea na kwakua hawana taarifa wakapoteza nafasi za kazi walizopata
 
Niamini dada yangu humu ndani kila mtu anataja database so bure tu waliingia oral na wanaamini wapo. Mwamba Mti mnene shuhuda wa hili tulikuwa nae oral Nov 23 nafikir atakuwa anaelewa ninachokiongea
Sawa mkuu,acha tuombe Mungu
 
Alwatan kwenye moja na mbili naona umeupokea uzi kutoka kwa wakongwe.
Enewei tuendelee kupiga ramli ya mpdf wakati tunamsubiri kaka yetu makofia afanye yake
 
Under cetaris peribas principle ukiingia oral umeshafaulu na kwa kawaida huwezi kukosa passmark 50 kwa maswali ya kumention kwa hiyo mtu ukitoka oral wengi wao wanakuwa na uhakika wa kuwemo kwenye database kwa sababu wanajua walivyojibu.
Hapo huo maneno wa Kiuchumi haupo Sawa kuingia Oral sio kufaulu mikando ipo tena Kwa Kiwango cha Lami

Usije kuwapa Moyo Vijana wanapofika Oral wakarelax
 
Back
Top Bottom