HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ety wakuu, hv kama umeripoti kwa Mwajiri wako tayari, baada ya hapo ukarudi Mtaani kusubiria kuitwa kazini kuanza Majukumu then Mwajiri akachelewa kukuita kazini kama miezi mitatu Je siku ya kuripoti kabisa kazini atakulipa pesa zako za miezi mi3 uliyokaa Mtaani..?
 
PSRS ni taasisi nzuri na mm nina ushahidi rafiki yangu wakaribu kalamba asali juzijuzi hapa na nimtoto wa mzazi wa hali ya chini tumekua wote, amelamba asali wizarani.Hatuwasemi vibaya ila changamoto zao warekebishe mifumo ya kuomba kazi ikae sawa isichague cozi na kukataa zingine bila sababu muhimu, muda wa mchato upunguzwe,Katibu mkuu Offisi ya Rais akiidhinisha vibali watu waingie kazini mapema bila upendeleo wala chenga, tunajua, tunajua,tunajua vimemo vipo sana na vitakuepo sana ila mtuangalie basi akina sisi na sie tulambe japo asali ya wadudu wakubwa, hiyo ya nyuki wadogo nyie kuleni japo hii nyingine ili tubalance mambo.
Angalizo, kirudisha mchakato wote kwa waajiri wenyewe ni kusogeza buyu la asali kwa wakirugenzi,wakuu wa idara na ma HR.
Kuna taasisi ndio zina ajiri zenyewe zipo nyingi tuna zitaja TADB,TCB, NSSF,Vyuo vyote vya uma na zinginezo je unadhani kulamba asali kule kama ww sio mtoto wa nanihiyu nirahisi hivyo, si tupo tunawaona unashangaa mtu kaanzakazi
Hao wanamadudu yao mengi machafu, hatutaki ,haohao utumishi wanatosha ila warekebishe kero zinazo lalamikiwa.
Sheria za utumishi za kuajiri ni ndefu na zinawabana huwezi kufananisha nabhao wengine wakae watu wawili waajiri hatufiki ndio maana hilo Waliliona mapema ikaundwa hii taasisi.
Tuache ushabiki hapa tuongee point, we live we die, see your future 100 years utakuwa wap, tuache mazingira mazuri kwa vizazi vijavyo wajue tulifanya mambo mazuri sio kuongea bila kufikiria mbele, tusifikirie matumbo yetu tu tufikirie mustakabali wote hapo tutaonekana wa maana kuliko kwenda kiushabiki mchuzi kunoga,ushabiki maandazi, ushabibiki vutumbua tunaita.
Naunga mkono hoja💯
 
Ety wakuu, hv kama umeripoti kwa Mwajiri wako tayari, baada ya hapo ukarudi Mtaani kusubiria kuitwa kazini kuanza Majukumu then Mwajiri akachelewa kukuita kazini kama miezi mitatu Je siku ya kuripoti kabisa kazini atakulipa pesa zako za miezi mi3 uliyokaa Mtaani..?
kwanza nikupe pole mkuu . ila hizi ajira ni noma yani miezi 3 bado huijui hatma yako.

ngoja waje wataalamu watakusaidia
 
Utumishi miyeyusho Sana sometimes , wanazidiwa ufanisi na tamisemi , yaani tamisemi na Magumashi yao lakini bado wanaweza organise kutafuta magepu ya ajira yote katika taasisi za serikali na kuyaanisha pamoja then wanatangaza kazi na kutoa placement kama mkeka mmoja ,
utumishi wao ni kudonoadonoa tu ,wazee wa perdiem
Dah

Mkuu unajua kazi ya utumishi?

Humu ndani kuna wadau wengine wanachangia hadi unaona kabisa kwanini huyu jamaa anakandwa kila siku.
 
Ety wakuu, hv kama umeripoti kwa Mwajiri wako tayari, baada ya hapo ukarudi Mtaani kusubiria kuitwa kazini kuanza Majukumu then Mwajiri akachelewa kukuita kazini kama miezi mitatu Je siku ya kuripoti kabisa kazini atakulipa pesa zako za miezi mi3 uliyokaa Mtaani..?

Kila siku mnaambiwa wanaochelewesha taratibu za ajira ni hao waajiri wenu ila bado mnakaza ubongo mnawalaumu PSRS.

Haya, mshahara unaanza kulipwa kuanzia tarehe iliyoelezwa kwenye barua ya ajira. Barua ya ajira sio ile ya utumishi, ni ile ya taasisi iliyokuajiri ambayo huwa inataja hadi mshahara.

Kama bado hujaipata hiyo basi hujaajiriwa bado na mwajiri wako bado anakamilisha taratibu za ajira (verification ya vyeti, background check, vetting, processing of check number etc).
 
Mshahara huwa unaanza kulipwa kwanzia siku iliyooneshwa kwenye barua ya ajira au mkataba uliyopewa na mwajiri na sio siku uliyochukua barua psrs, so kama mwajiri bado hajakupa barua ya ajira it means kuna taratibu bado hazijakamilika kwahiyo unakua bado sio mwajiriliwa.
 
Tuendelee kupush ajenda wakuu.
Pdf ni haki yetu na tushagharamika sana ni bora kujua mbivu na mbichi mapema maisha yakaendelea maana tunajua hatuwezi kuajiriwa wote.
Wawakilishi wetu bungeni nao badala ya kuhoji vitu kama ajira za watu wao na ripoti ya CAG wao wapo bize kubishana kuhusu ishu ushoga wakati inshu hiyo ni serikali tu inapaswa itoe tamko na sheria kali zaidi ziundwe basi.
Ankoli humu jukwaan mawakala wameshakua wengi 😂😂
 
Kila siku mnaambiwa wanaochelewesha taratibu za ajira ni hao waajiri wenu ila bado mnakaza ubongo mnawalaumu PSRS.

Haya, mshahara unaanza kulipwa kuanzia tarehe iliyoelezwa kwenye barua ya ajira. Barua ya ajira sio ile ya utumishi, ni ile ya taasisi iliyokuajiri ambayo huwa inataja hadi mshahara.

Kama bado hujaipata hiyo basi hujaajiriwa bado na mwajiri wako bado anakamilisha taratibu za ajira (verification ya vyeti, background check, vetting, processing of check number etc).
Ankoli hii sio kweli
 
Nani anakaza ubongo mkuu, Mimi simo kwenye hyo mijadala yenu.. Sticky Hapahapa kwenye swali langu..
But nashukuru kwa majibu yako
 
Back
Top Bottom