HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
isije kuwa tunakupa credit kuwa nimtu mwema/msikivu na mtia faraja ingali kwa wnandugu una mikausho mikali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mdogo wangu anayenifuata alipiga Education, wakati anakaribia kumaliza Chuo alijiongeza akasuka mipango ya ujasiriamali, aliomba mtaji bahati nzuri nilikuwa na za mboga, nilimpa akaingia kwenye game.

Sasahivi ana maisha yake, kaoa mwaka jana, anapambana na alichokianzisha. Akijitahidi zaidi ajira hatahangaika nazo ingawa juzi kati nimemsajilia akaunti PSRS na huwa napitia matangazo ili nikiona nafasi ipo kwenye sifa zake nimfanyie application, yeye nimemuacha awe busy na ishu zake.

Pia kutokana na kupambana kwake kule, tayari anatarajia kuanza msingi wa nyumba yake(mimi sina hata kiwanja[emoji3][emoji3][emoji3]).
 
Kijana Ujobless usifanye Uwe na Makasiriko ungeelewa neno sina Uhakika usingesumbua Relax Hivyo hivyo Usinipe tabu ya kukuelewesha Maana Maswali yako naona hayaishi ulianza kuniuliza ulizisikia wapi nikakujibu naona tena umekuja na Ulizisikia lini? Bado naweza kukujibu Lkn utakuja ulimsikia Nani ?

Kuwa Jobless kusikufanye upende kupokea taarifa zinazokufurahisha. Narudia tena karejee Text ya Kwanza ? Ukielewa itakuwa vzr zaidi sina mood ya kubishana.
Acha kutumia kichwa kama dispenser ya mate, sio kila anaetafuta kazi serikalin ni jobless
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mdogo wangu anayenifuata alipiga Education, wakati anakaribia kumaliza Chuo alijiongeza akasuka mipango ya ujasiriamali, aliomba mtaji bahati nzuri nilikuwa na za mboga, nilimpa akaingia kwenye game.

Sasahivi ana maisha yake, kaoa mwaka jana, anapambana na alichokianzisha. Akijitahidi zaidi ajira hatahangaika nazo ingawa juzi kati nimemsajilia akaunti PSRS na huwa napitia matangazo ili nikiona nafasi ipo kwenye sifa zake nimfanyie application, yeye nimemuacha awe busy na ishu zake.

Pia kutokana na kupambana kwake kule, tayari anatarajia kuanza msingi wa nyumba yake(mimi sina hata kiwanja[emoji3][emoji3][emoji3]).
Gifted heart, MUNGU akubariki.
 
Kauli mbiu ya mama
primary%253AAndroid%252Fmedia%252Fcom.whatsapp%252FWhatsApp%252FMedia%252F.Statuses%252F5beefa...jpg


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Acha kutumia kichwa kama dispenser ya mate, sio kila anaetafuta kazi serikalin ni jobless
Hahah! Hii ina nikumbusha lile mbungi la kwenye gazeti la sani, mechi ya bush stars na ma norn town kulikuwa na Golden Mapungo humo ndani.

Jamaa walikuwa wanatoleana lugha tata sana.
 
Mmeshikwa pabaya
Hamna hicho kitu, haawezi kufanya hivyo kwa taasisi zote na usidhani kuwa nirahisi hivyo mpaka vifungu kisheria vibadilishwe.Utumishi imepewa malaka kisheria .Msiandike hadithi bila ushahidi ambao hauna mashaka. Unatakaiwa kuongea vitu ambavyo mtu atakuelewa kirahisi,tusidiscuss vitu kama ni form 4 au lasaba B
 
PSRS ni taasisi nzuri na mm nina ushahidi rafiki yangu wakaribu kalamba asali juzijuzi hapa na nimtoto wa mzazi wa hali ya chini tumekua wote, amelamba asali wizarani.Hatuwasemi vibaya ila changamoto zao warekebishe mifumo ya kuomba kazi ikae sawa isichague cozi na kukataa zingine bila sababu muhimu, muda wa mchato upunguzwe,Katibu mkuu Offisi ya Rais akiidhinisha vibali watu waingie kazini mapema bila upendeleo wala chenga, tunajua, tunajua,tunajua vimemo vipo sana na vitakuepo sana ila mtuangalie basi akina sisi na sie tulambe japo asali ya wadudu wakubwa, hiyo ya nyuki wadogo nyie kuleni japo hii nyingine ili tubalance mambo.
Angalizo, kirudisha mchakato wote kwa waajiri wenyewe ni kusogeza buyu la asali kwa wakirugenzi,wakuu wa idara na ma HR.
Kuna taasisi ndio zina ajiri zenyewe zipo nyingi tuna zitaja TADB,TCB, NSSF,Vyuo vyote vya uma na zinginezo je unadhani kulamba asali kule kama ww sio mtoto wa nanihiyu nirahisi hivyo, si tupo tunawaona unashangaa mtu kaanzakazi
Hao wanamadudu yao mengi machafu, hatutaki ,haohao utumishi wanatosha ila warekebishe kero zinazo lalamikiwa.
Sheria za utumishi za kuajiri ni ndefu na zinawabana huwezi kufananisha nabhao wengine wakae watu wawili waajiri hatufiki ndio maana hilo Waliliona mapema ikaundwa hii taasisi.
Tuache ushabiki hapa tuongee point, we live we die, see your future 100 years utakuwa wap, tuache mazingira mazuri kwa vizazi vijavyo wajue tulifanya mambo mazuri sio kuongea bila kufikiria mbele, tusifikirie matumbo yetu tu tufikirie mustakabali wote hapo tutaonekana wa maana kuliko kwenda kiushabiki mchuzi kunoga,ushabiki maandazi, ushabibiki vutumbua tunaita.
YAn hizo kero kama PSRS wangesifanyia kazi HAta huu uzi leo usingekuwepo kabisa.

Chakushangaza PSRS badala wapambanie changamoto walizo nazo,. Wanatujazia mawakala hao humu JF, kuja kupoteza mwelekeo wa uzi
 
Wakuu, kumekucha.
Tuendelee kusubiri PSRS kama leo watafanya kitu. Tunapitia kipindi kigumu sana basi tu. Ukipita mitandaoni ukakutana na report ya CAG unazidi vurugika zaidi.
Sijui kwanini wanatumia muda mrefu sana hivi daaaah!
 
Tuendelee kupush ajenda wakuu.
Pdf ni haki yetu na tushagharamika sana ni bora kujua mbivu na mbichi mapema maisha yakaendelea maana tunajua hatuwezi kuajiriwa wote.

Wawakilishi wetu bungeni nao badala ya kuhoji vitu kama ajira za watu wao na ripoti ya CAG wao wapo bize kubishana kuhusu ishu ushoga wakati inshu hiyo ni serikali tu inapaswa itoe tamko na sheria kali zaidi ziundwe basi.
 
Back
Top Bottom