HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Patupu.! Patupu.! na leo tena patupu
Kiukweli wadau maisha ya kitaa yanakuchapa viboko mpaka wakat mwingine unasahau km unadegree , master au CPA T. Nouma sana aisee
 
Nimetaka kusema kitu nikakumbuka mwanasheria wangu ameniambia yeye anaweza kupambana ila kuna wasiojulikana.

Afu atakuja mtu aseme watoto wa msikini fyoko sijui,masikini katumia bando lake kuomba kazi ambayo ni haki yake kama mtanzania,katumia muda wake kukaa chini kusoma,katumia nauli yake na hela ya malazi mara mbili afu anapigwa danadana pasi na kujua hatma yake
 
Back
Top Bottom