HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Aisee,na hapo unakua usharipoti kituo cha kaz na barua? So unarudshwa tena kusubria sim iite[emoji848],au wanawajulisha mapema kabla kuripot?
Kuna mambo yanaendelea nchi hii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji846][emoji846][emoji3][emoji3]
Ukiyatizama kwa undani unabaki kinywa wazi

Ukiritimba ni mwingi mno....yaaan ni almost kila mahali.....
 
Nilipopata kazi Status both App and web Ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW, kwa Mda and lga placement bado haijatoka status ni kwa web ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW kwenye App ni NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW
Hongera sana mkuu kwa kupata placement ila kwa lugha rahisi MDA na LGA japo pdf yake haijatoka ni baba jeni bai bai
 
Ukichukua barua PSRS(Masijala ya Wazi) unampelekea mwajiri pamoja na nyaraka(vyeti).

Sasa mwajiri ndio atakuambia ni lini utaanza kazi, hapo ndipo wengi wetu huambiwa watapigiwa simu, ambapo ndio muda wa kupigiwa simu unatofautiana kulingana na maandalizi ya mwajiri.

Mwajiri kama kashajiandaa mapema, haitachukua muda mrefu kukamilisha taratibu na kuwaita mkaanze kazi.

Point yangu ni kuwa, Waajiri wote hawezi kulingana mipango yao ya kupokea waajiriwa wapya ndio maana suala la kutoa placement ya MDA na LGA kwa mkupuo haliwezekani. Hata hivyo endapo likitoka kwa mkupuo, lazima kila mwajiri atakuwa na utaratibu wake wa kuwaita mkaanze kazi.
Kwani sheria za jumla kwa mashirika haya zipoje??
Au ni hela (uchumi) ndo inakuwa haipo?????
 
Nilipopata kazi Status both App and web Ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW, kwa Mda and lga placement bado haijatoka status ni kwa web ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW kwenye App ni NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW
Izo status ni pasua kichwa, kila mmoja na yake
 
Izo status ni pasua kichwa, kila mmoja na yake
Wewe ndio umeamua kukipasua kichwa chako mkuu huwezi kua na NOT SELECTED na ukupata placament na ata kwenye database huwezi kuwepo yani kifupi hukupata passmark za kufaulu ORAL INTERVIEW lakini ukiwa na SELECTED FOR maana yake umefaulu ORAL INTERVIEW na apo kuna posibility ukatokea kwenye pdf au ukabaki kwenye database kulinga na uhitaji na nafasi zilizo kuepo
 
Watu wanakaza fuvu kujifariji
 
Kuna mambo yanaendelea nchi hii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji846][emoji846][emoji3][emoji3]
Ukiyatizama kwa undani unabaki kinywa wazi

Ukiritumba ni mwingi mno....yaaan ni almost kila mahali.....
Na hautaisha leo wala kesho,sjui tutajikomboaje akii[emoji2]
 
Ila kauli ya Mh. Waziri ilikuwa wazi.
Yeye alisema wataita watu 1768 kutoka kwenye database ili kupunguza ile ya kuendelea kuwaita watu usaili ilihali wapo wanaoweza kufit kwenye hizo nafasi!!
Kwa maelezo hayo tu.....PSRS wangesitisha shughuli zote zinazohusiana na usaili, na kutimiza hilo jambo/ahadi ya Mh. Waziri ili kuweka mambo sawa na kupunguza kuwasumbua vijana kama alivyosema

Haiingii akilini hata zile nafasi za mtu mmoja mmoja wanaita zaidi ya watu 100, ukichunguza kwa umakini sio kwamba kwa database huyo mmoja anaweza kosa. Jaman hii ni torture ya saikolojia mbaya sana tu sema wapo wanaoichukulia poa
 
The interval
Screenshot_20230331_201922.jpg
 
Kiongozi !!!Kauli ya Mh.Mhagama kaisikilize vizuri!!!!Mtawafanya maboss zenu watolewe kwenye uboss kama wamewatuma kujibu hoja za Jobless unajibu hvy!!!!
Mama(Rais) bado anatumaini mawazo ya vijana ni neema kwake 2025 kuliweka taifa katika uwiano mzuri kama umeshamtambua.
Tujibu kwa hoja ukiona kwako ni ngumu bora kunyamaza...
Mungu atupiganie bestlooser wote tunaotafuta asali ya Utumishi kwenye data base ya 1700+
Kitenge anatafuta watu wajinga kuja kujibu hoja zetu
 
Tuwe wavumilivu Mungu ni mwema uku tukizidi kuwakumbusha ahadi Mh. mhagama ....Ila Data base kama data base watatoa na halitahusiana na waliofanya usail....Swala la mda nawasiwasi na budget haiko sawa au walikuwa wanawait report ya CAG mapungufu yapi wayafanyie kazi...
Swali ninalotafakari kwann wanacheza na data base ya nov to 2/2/2023 na sio 28/2/2023
Subiria ndoige kubwa sana
 
Umezungumzia point muhimu sana kuhusu panel, sikuwa nafikiria hili.

Naomba kuuliza swali:

Kutokana na maelezo haya kuhusu panel, nini athari yake endapo matokeo ya Oral yangekuwa yanawekwa wazi kama baadhi yetu humu kwa mara kadhaa wamehoji kuhusu matokeo ya Oral.
Kwa hiyo matokeo ya oral yanafichwa Ili kuzuia mapungufu ya paneo, inashangaza sana Yan
 
Mfano TRA wametangaza ajira mwenzi 4/2022 kuitwa usail feb 2023 hapo alaumiwe nani ....
1.Aliyetunga kanuni hakufuata miongozo ya ajira
2.Wanao kanda watahiniwa hawafuati kanuni za taasisi
Hapa ndo wanapomfanya Mama(Rais) achukie..
Yan ukisema uichunguze psrs step by step, utagundua mapungufu mengi sana, na ndio maana wamejazana humu JF kitetea maujinga Yao,

Psrs nyie ni TAASISI ya hovyo sana Yan
 
Back
Top Bottom