HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mabadiliko ya status (Web na App) hayana maana yeyote katika kupata au kukosa placement.
PDF pekee ndio yenye kuthibitisha kuwa Mh. Jobless amepata/ amekosa placement.
Na huo ndo ukweli, sema watu wanajifariji kwa status ili kuendelea kua comfortable, uhakika ni PDF, siku za nyuma niliwah kisema selected for oral interview ni kwakila alie pass written.

Kuna interview nilishafanyaga written nikapass kuingia oral then oral sikwenda, had Leo status imebaki selected for oral. Hata jamaa zangu walioingia oral na kukosa placement status imebak selected for oral. Hiyo ilikua 2021
 
Yaan wanaokuwa selected kweny web ni uhakika kweny placement zikitoka na apps ikiwa not selected ndo database au
Hizo ni kauli za kujifariji tu, hakuna uhusiano wowote na mabadiliko ya status yalianza kuleta mkanganyiko baada ya oral ya tra mwaka Jana status zilivyokua zinabadilika Mara kwa mara
 
Hizo ni kauli za kujifariji tu, hakuna uhusiano wowote na mabadiliko ya status yalianza kuleta mkanganyiko baada ya oral ya tra mwaka Jana status zilivyokua zinabadilika Mara kwa mara
Inshort ni masuala tu ya faults za system yao,HAKUNA UHUSIANO WOWOTE wa status na placement
 
Na huo ndo ukweli, sema watu wanajifariji kwa status ili kuendelea kua comfortable, uhakika ni PDF, siku za nyuma niliwah kisema selected for oral interview ni kwakila alie pass written. Kuna interview nilishafanyaga written nikapass kuingia oral then oral sikwenda, had Leo status imebaki selected for oral. Hata jamaa zangu walioingia oral na kukosa placement status imebak selected for oral. Hiyo ilikua 2021
Ukwel ni pdf binafsi naamin katika pdf hayo mambo ya status wanayajua wao wenyew psrs na IT wao uko
 
Inawezekana kuonyesha vt 2 tofauti...kwenye app walirekebisha nfkri kuondoa zile null ila kama ulifika oral na bado inasoma not selected for oral kwenye app hapo kidgo inabdi kujitathini mkuu
Selected for oral maana yake nini, tuanze hapa kwanza
 
Kuna mtu yeyote alifanya oral, ila baada ya matokeo au list ya watu kuitwa kazin kutoka na hakuwepo kwenye hio list, account yake kwenye app imebadilika kutoka kuwa selected for oral interview na kuwa not selected for oral interview
Enheeeee! Haya sasa wazee wa status....Hiyo kitu ipo mkuu. Kwako imekuja hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio.. imebadilika baada ya watu kuitwa kazin. Hata baada ya kufanya oral, ilikuwa bado selected for oral. Imebadilika baada ya watu kuitwa kazin!
Hapo kama vipi jiandae na usahili mwingine aiseee...japo psrs hawajatokaga hadharani kutuainishia ukiona hiyo notification ina implication gani lakini hiyo ni red sign

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda mim pia ni msaka mirija ya Asali. ila kuna mda inabidi tukubaliane na hali halisi na tuwaachie utumishi wafanye kazi yao as long as USHUHUDA WA DATABASE UNATOLEWA NA MEMBERS KIBAO HUMU. Mh.Mhagama alitoa kauli tu lakini ufanyaji wa iyo kauli utumishi ndio wanadili nayo. Wengi tulitamani PDF la 1700+ litoke feb lakin haikuw ivyo.
Tuwe wavumilivu Mungu ni mwema uku tukizidi kuwakumbusha ahadi Mh. mhagama ....Ila Data base kama data base watatoa na halitahusiana na waliofanya usail....Swala la mda nawasiwasi na budget haiko sawa au walikuwa wanawait report ya CAG mapungufu yapi wayafanyie kazi...
Swali ninalotafakari kwann wanacheza na data base ya nov to 2/2/2023 na sio 28/2/2023
 
Selected for oral maana yake nini, tuanze hapa kwanza
Yes! Kuna mkuu mmoja humu nili-comment kuwa nini maana ya "Selected For Oral Interview" je, ina maana umepangiwa kituo cha kazi? Nini maana ya "Not Selected For Oral Interview" je, ina maana umekosa kupangiwa kituo cha kazi na haupo database? Hakunijibu. Akang'ang'ania maana hizo hapo juu. Kwahio utaona hata sisi Jobless tuna shida mahali.

Hata kama kujifariji sio kihivo, kwenye ukweli tusipepese macho.
Mimi nabaki na maana halisi ya Selected For Oral Interview na Not Selected For Oral Interview (No matter usaili umefanyika na PDF kutoka au lah!
 
Mimi nimepata ajira juzi tu,ila status za kwenye app zina maana sana,sema ni vile tu tunachukuliaga poa na tunapenda sana kutiana matumaini kwenye hamna...narudia tena tarehe 14 nlifanya oral ya Mda/lga nilitoka nkijua nimezingua.. before ilikua selected for oral nlivoingia kwenye app tarehe 15 nikakuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW..Sasa hapo napo unajipa matumaini tena kuwa tusiamini status???... Status zina maana sana asa asa za kwenye app..za kwenye web hazibadilikagi
 
Sijui kama nimekuelewa vizuri. Umesema umeandikiwa NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW kwenye App na umepata ajira juzi?
 
Yaan wanaokuwa selected kweny web ni uhakika kweny placement zikitoka na apps ikiwa not selected ndo database au
Kwanza toa hiyo notion ya UHAKIKA.

We jua tu SELECTED FOR ORAL...umefaulu,sasa unaweza ufaulu sana utokee kwenye pdf or wenzio wamefaulu kukuzd ubaki DATABASE

NOT SELECTED,hii haina mjadala,ni baba jane bye bye[emoji276]
 
Mkuu, usiseme hivo. Kuna wadau kwenye App wana NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na PDF likaja wakawemo na wanalamba Asali ya Nyuki wadogo hapo TRA. Yes, I know them. Na humu wapo ni vile tu si kila kitu cha kuweka bayana. Tusipende kuweka neno liwe na maana ambayo sio maana yake.
 
Back
Top Bottom