HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kaka pannel hizi zimeua ndoto za watu wengi sana hasa hizi unakuta interviwe moja ina pnnela tatu mpaka nne,sisemi vibaya ila wahanga wa hili watakuwa wanajua changamoto yake,kuna pannel wao watakuambia mention wamalize chap na kuna pannel watakuambia explan na ni swali lile lile mmoja anataka maelezo mwingine anataka utaje.
Hii imeshaumiza wengi sana na mara nyingi placement ikija unakuta oannel moja ni kama ilikuwa kitonga nyingine ni wakandaji pure.
Hili nalo la kutazamwa..
 
Leo nakesha nasubr simba wacheze so pdf likishuka mida ya night itakua unyama
20230324_224539.jpg
 
Kila mtu ana connection ila hizo connection zinazidiana. Ila hao wa not ni michongo.
Mwanzo nilikuwa kama wewe, nilikua miongoni mwa hao walotoa ushuhuda huko juu. Baada ya kujihakikishia (kwa kuona mwenyewe, sio kuambiwa) kwa watu wawili, nili-comment humu mpaka nikaambiwa hao watakuwa wamepenyezwa na connection hapo PSRS. Lakini ingekuwa connection alonayo ndugu yangu basi toka 2017 ningekuwa nishaanza lamba Asali huko Shirika la Umma moja linalosifika kwa utamu wa Asali yake. Anyway, ipo siku atatokea tu wa ku-expose hili.
Z
 
Back
Top Bottom