HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Interview ya kwanza na ya mwisho kwenda Dodoma ilikua sababu ya hiyo DataBase, nikajisemea nikikosa basi hata kwenye DataBase naweza tokea.! Ila baada ya kukutana na watabe wa kufanya interviews za utumishi mayb kafanya 7 written afu kaingia hata 5 Oral ila hawajawai itwa na wapo tu wengi wengi wengine Graduate wa 2014..kwenye kada yetu tangu 2015 kwenye Database ni mmoja tu anayejulikana wengine wote mchuzi moto nguna moto, Dj anajisemeaa Tunaanzaa mwanzoooooo
status ilikua inasomaje mkuu
 
Umezungumzia point muhimu sana kuhusu panel, sikuwa nafikiria hili.

Naomba kuuliza swali:

Kutokana na maelezo haya kuhusu panel, nini athari yake endapo matokeo ya Oral yangekuwa yanawekwa wazi kama baadhi yetu humu kwa mara kadhaa wamehoji kuhusu matokeo ya Oral.
Kaka pannel hizi zimeua ndoto za watu wengi sana hasa hizi unakuta interviwe moja ina pnnela tatu mpaka nne,sisemi vibaya ila wahanga wa hili watakuwa wanajua changamoto yake, kuna pannel wao watakuambia mention wamalize chap na kuna pannel watakuambia explan na ni swali lile lile mmoja anataka maelezo mwingine anataka utaje.

Hii imeshaumiza wengi sana na mara nyingi placement ikija unakuta oannel moja ni kama ilikuwa kitonga nyingine ni wakandaji pure.
 
Kaka pannel hizi zimeua ndoto za watu wengi sana hasa hizi unakuta interviwe moja ina pnnela tatu mpaka nne,sisemi vibaya ila wahanga wa hili watakuwa wanajua changamoto yake,kuna pannel wao watakuambia mention wamalize chap na kuna pannel watakuambia explan na ni swali lile lile mmoja anataka maelezo mwingine anataka utaje.
Hii imeshaumiza wengi sana na mara nyingi placement ikija unakuta oannel moja ni kama ilikuwa kitonga nyingine ni wakandaji pure.
wakandaji pure " haloo
 
Back
Top Bottom