HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Au mnahisi wanaoilalamikia psrs ni kwa vile hawajalamba asali????

Pigia mstari, na huo ndio ukweli mchungu.

Hivi unajua wengi wetu humu huwa wanaondoka kabisa kwenye huu uzi pindi wakipata nafasi? Kule walipo au hata kama wapo hapa ila hawakomenti unafikiri wanalalamika?

Kwa ufupi mtu akishapata nafasi, mawazo kuhusu PSRS yanaisha kabisa na anabadili mawazo kufocus kwenye mambo mengine.

Nawaombeeni mpate nafasi ili nije nione kama mtalalamika tena.

PSRS ni watu kama sisi, na sifa ya mwanadamu ni kutokuwa mkamilifu na ndipo yalipo mapungufu kiutendaji.
 
Well said
 
Hiyo ni kweli, wengi wanaolalamika huku ni hawajapata hiyo asali na matumaini yao makubwa yalikuwa kwenye data base napo wamekosa na ndio maana shutuma ni nyingi.

Angalia wengi waliokuwa wanalalama kabla hawajapata asali, walipopata umeshawahi wasikia tena hata hatua zingine umezisikia wakielezea zaidi ya kusema nimepata na kutoweka,

Mtu ambaye anakuja huku mara kwa mara kutupa moyo ni mwifa peke yake, lkn nae Naona mwisho atachoka maana kila anachoandika mnamkejeli kwa kumuita ni agent wa psrs, wakati alikuwa muungwana kabisa tangu siku ya kwanza aliposema amepata, ufuatiliaji wa barua Hadi kuajiriwa kabisa kwa mwajiri mpya, tena amewasaidia na wengine maana walikuwa hawaelewi baada ya kuchukua barua huko utumishi wanapeleka wapi.

Tujifunze kuwa na subira na kushukuru kwa kila jambo.

We kama umefanya written mara kadhaa maswali yamekugonga usiwakatishe wengine tamaa waache wapambane, nawe ulifanikiwa kuingia oral bahati mbaya jina halikurudi kama ulivotarajia shukuru pia next time upambane zaidi.

Asa mtu akiingia oral mara Moja anataka ndio apate yeye tu hapohapo wakati kuna wenzio wamehudhuria hizo oral mara kibao lakini Bado wana matumaini ipo siku yao itafika nao watapata nafasi.

Tushukuru kwa kila jambo kwakweli. Na Mungu atatubariki tusiwe wepesi wa kukejeli kila mara eti kisa umekosa nafasi.

Wenzako tupo mtaani zaidi ya miaka kumi sasa na hatujakata tamaa we unamiaka miwili mitano mtaani unalalamika kama umedhulumiwa kiungo chako chochote kinachokukwamisha kuendelea na majukumu mengine.

Na wengi wanaolalamika ndio mliokuwa mnajidanganya wakati mpo chuo kazi zipo tu, wakati we wakati unamaliza hiyo coz fikiria mbele yako wako watu wangapi wameshamaliza coz hiyohiyo na wangapi Bado wapo huko chuoni.

Maisha ni kupambana, ukikosa psrs sio mwisho wa maisha angalia ishu zingine na maisha yako yaendelee.
 
Yote uliyoyaandika hayaondoi kiini cha huu uzi...

Ni kwanini PSRS wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?
Hata Mh. Rais kuna sku alilalamikia mlolongo mrefu kwenye kuajiri watu akaenda mbali zaidi kusema mashirika yarudishiwe rungu kufanya michakato na kuajiri wenyewe......(Unahisi ni kwann aliyasema hayo)????
Nasaha ulizoziweka hapo haziondoi malalamiko dhidi ya utumishi

Na hii ya mtu baada ya kupata asali na akaona wanaoendeleza mapambano ni wavurugaji...wana nongwa.....wanalalamika kwa vile hawajapata asali nadhani ni tabia mbaya mno na inaendelea kukua.......imajini ww umelamba saa hii asali na mfumo huu huu umeendelea hadi miaka 20 mbele mwanao na ndg zako pia nao watakuja kupitia msoto huu huu kizazi hadi kizazi ,,,Kwa maana kila sku hapa tunasemezana kuhusu watoto wa maskini kwa staili hii mnyororo wa umaskini si utaendelea kizazi hadi kizazi maana ajira zitakuwa hazieleweki zaidi, ww uliyetoboa ndg jamaa na marafiki watakuwa wamekukodolea wewe uwasaidie

Malalamiko dhdi ya utumishi ni waimprove michakato yao....mambo yawe smooth,
Changamoto ziondoke

Ajabu ni pale watu wanapoona sonona sio ishu, mnakalia kuwaambia watu wavumilie unadhani wamekosa uvumilivu??? Uvumilivu nao una mwisho (saturated point)
Anyway au basi
 
Hiyo ni kweli, wengi wanaolalamika huku ni hawajapata hiyo asali na matumaini yao makubwa yalikuwa kwenye data base napo wamekosa na ndio maana shutuma ni nyingi.

Angalia wengi waliokuwa wanalalama kabla hawajapata asali, walipopata umeshawahi wasikia tena hata hatua zingine umezisikia wakielezea zaidi ya kusema nimepata na kutoweka,

Mtu ambaye anakuja huku mara kwa mara kutupa moyo ni mwifa peke yake, lkn nae Naona mwisho atachoka maana kila anachoandika mnamkejeli kwa kumuita ni agent wa psrs, wakati alikuwa muungwana kabisa tangu siku ya kwanza aliposema amepata, ufuatiliaji wa barua Hadi kuajiriwa kabisa kwa mwajiri mpya, tena amewasaidia na wengine maana walikuwa hawaelewi baada ya kuchukua barua huko utumishi wanapeleka wapi.

Tujifunze kuwa na subira na kushukuru kwa kila jambo.

We kama umefanya written mara kadhaa maswali yamekugonga usiwakatishe wengine tamaa waache wapambane, nawe ulifanikiwa kuingia oral bahati mbaya jina halikurudi kama ulivotarajia shukuru pia next time upambane zaidi.

Asa mtu akiingia oral mara Moja anataka ndio apate yeye tu hapohapo wakati kuna wenzio wamehudhuria hizo oral mara kibao lakini Bado wana matumaini ipo siku yao itafika nao watapata nafasi.

Tushukuru kwa kila jambo kwakweli. Na Mungu atatubariki tusiwe wepesi wa kukejeli kila mara eti kisa umekosa nafasi.

Wenzako tupo mtaani zaidi ya miaka kumi sasa na hatujakata tamaa we unamiaka miwili mitano mtaani unalalamika kama umedhulumiwa kiungo chako chochote kinachokukwamisha kuendelea na majukumu mengine.

Na wengi wanaolalamika ndio mliokuwa mnajidanganya wakati mpo chuo kazi zipo tu, wakati we wakati unamaliza hiyo coz fikiria mbele yako wako watu wangapi wameshamaliza coz hiyohiyo na wangapi Bado wapo huko chuoni.

Maisha ni kupambana, ukikosa psrs sio mwisho wa maisha angalia ishu zingine na maisha yako yaendelee.
Fact,
 
Nilipopata kazi Status both App and web Ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW, kwa Mda and lga placement bado haijatoka status ni kwa web ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW kwenye App ni NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20230331_193452.jpg
 
Umeandika maneno mazuri ila bado hujagusa point ya muhimu ambayo ni:

"KWANINI UTUMISHI WANACHELEWA KUITA WATU KAZINI"

Anyway Rais wetu mtukufu analamba ASALI lakini nae kalalamika kuhusu PSRS.
 
Pigia mstari, na huo ndio ukweli mchungu.

Hivi unajua wengi wetu humu huwa wanaondoka kabisa kwenye huu uzi pindi wakipata nafasi? Kule walipo au hata kama wapo hapa ila hawakomenti unafikiri wanalalamika?

Kwa ufupi mtu akishapata nafasi, mawazo kuhusu PSRS yanaisha kabisa na anabadili mawazo kufocus kwenye mambo mengine.

Nawaombeeni mpate nafasi ili nije nione kama mtalalamika tena.

PSRS ni watu kama sisi, na sifa ya mwanadamu ni kutokuwa mkamilifu na ndipo yalipo mapungufu kiutendaji.
hio kauli ya kutokuwa mkamilifu ni ya kipuuzi na ndio inayochangia uvivu na ujinga mahala popote pale
 
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
 
Hongera,
 
01/04 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
Hongera sana kiongozi, kada gani na position gani?
 
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
Hongera sana
 
Hongera sana kiongozi! Bila shaka utakuwa umelamba utawala..
 
Back
Top Bottom