P-Value
Senior Member
- Dec 24, 2022
- 114
- 428
Hongera sana karibu sana, na wengine zamu zenu zinakuja mtalamba asali mpk iwapalie mtanishukuru baadaeeeUwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]