HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kuna mtu aliongea hapa kwenye thread hii kuwa kunataasisi imejaza watu kabila moja leo ndo hao wanaenda kufanya mahojiano na ww unategemea nn...zaidi wanahofu huyu mtu akiingia kwenye taasisi yetu atasumbua!!!ndo upepo uliopo panelist za Utumishi
Tuzidi kuomba Zaidi Ipo siku Mungu atatutetea zaidi
haloo
 
Mwanzo nilikuwa kama wewe, nilikua miongoni mwa hao walotoa ushuhuda huko juu. Baada ya kujihakikishia (kwa kuona mwenyewe, sio kuambiwa) kwa watu wawili, nili-comment humu mpaka nikaambiwa hao watakuwa wamepenyezwa na connection hapo PSRS. Lakini ingekuwa connection alonayo ndugu yangu basi toka 2017 ningekuwa nishaanza lamba Asali huko Shirika la Umma moja linalosifika kwa utamu wa Asali yake. Anyway, ipo siku atatokea tu wa ku-expose hili.

Story za kujishaua hizi…hapa ni data, facts na opinions kisela..sio sijui connection mara akaunti ya kaka?
 
Story za kujishaua hizi…hapa ni data, facts na opinions kisela..sio sijui connection mara akaunti ya kaka?
Sasa ulitaka nisemeje?. Mimi nimesema kile nilichokiona (sio kusikia), unalazimisha niseme cha kukitunga (uongo)?

Humu kama watumishi wa PSRS wapo basi hua wanatucheka sana. Moja ya jambo wanalojiuliza ni kwamba "Hivi hawa ndio wasomi (jobless) ambao hawajui hata maana ya SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW?" "Yaani hawajui tofauti ya Interview na Placement"?
Basi mkuu, kila mmoja abaki na anachokiamini.

Mimi nilifanya Oral Interview mwezi February, baada ya story zile awali ikabidi niangalie kwenye App na Web. Nikaona "Selected For Oral Interview". Baada ya hapo nikasema hapa ni PDF pekee ndiyo itakayoamua aidha nimepata placement au nimekosa placement. Period!
Na hata habari za kuwepo kwenye database hizo bla bla ni PSRS wao ndio wanajua.
 
Sasa ulitaka nisemeje?. Mimi nimesema kile nilichokiona (sio kusikia), unalazimisha niseme cha kukitunga (uongo)?

Humu kama watumishi wa PSRS wapo basi hua wanatucheka sana. Moja ya jambo wanalojiuliza ni kwamba "Hivi hawa ndio wasomi (jobless) ambao hawajui hata maana ya SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW?" "Yaani hawajui tofauti ya Interview na Placement"?
Basi mkuu, kila mmoja abaki na anachokiamini.

Deal Done.
 
Ni siku ntingine tena ndugu zangu leo wasakatonge.mh waziri ile kauli yake nayo imechangia zaidi kwenye huu uzi kutufarakanisha hadi ndugu yangu bwana Mwifwa akajikuta amepewa cheo kipya pale PSRS(Joke).ile kauli kiuhalisia ndio imekuja kuacha maumivu na maswali mengi sana kwa wadau,maana kama ni database ilikuwepo sana hata kabla ya kauli yake lkn wadau hawakuwa wanaiwaza sana kama baada ya kauli yake.
Kuna hapo juu pia mtu anasema kuwa kuwa ratio ya 3/1 ni kubwa sana hawawezi kufaulu wote ni kweli na mtu mwenye akili timamu kwa maswali ya oral ya utumishi ukitoka unajua kabisa kuwa umefanya vizuri au umezingua,na pia muongozo wa psrs kwa kada ambazo ni non teaching oral ukifikisha 50 ni kuwa umefaulu no matter mpo wangapi ila tu kinachokuja kutofautisha mimi na wewe hatujui wanaangalia nn may be kuna factors nyinginezo au ni mwenye marks nyingi.

Currently kumekuwa na shida ya pannelist japo hatuliongei hilo ila hili nalo linaumiza sana watu unakuta majina yanatoka watu wa panneli mojawapo karibu wote wameitwa na pannel nyungine unakuta hamna aliyeitwa,(refer waliofanya TASAC 2020 pannel ile aliyokuwepo MD hawakutoka watu na watu karibu wote wakatoka pannel ya pili ila maswali ni yaleyale na watu walijibu vizuri)hapa ndio mtu anashangaa zaidi.

Yote kwa ujumla changamoto ni nyingi kwa wasaka asali ila kikubwa ni kuomba Mungu afya na uzima,mimi nadhani mtu akipata asali asifanye kama wengine hawajui maana kuna watu wapo kazini kwa upepo wa panneli yao tu siku hiyo lkn wanakuja kuona wengine wazembe.

Tuendelee kumuomba Mungu afungue milango ya ridhki kwetu ili kufikia mafanikio,haijalishi mtu utapata namtumbo au nanjilinji huko ila kikubwa una uhakika wa maisha na unakopesheka unaeeza kurun shughuli ambazo tunazifanya sasa hv ila hatuna mitaji mikubwa.

mfwende sawadogo next pdf utakuwepo kaka,wewe ni mpambanaji.
Umezungumzia point muhimu sana kuhusu panel, sikuwa nafikiria hili.

Naomba kuuliza swali:

Kutokana na maelezo haya kuhusu panel, nini athari yake endapo matokeo ya Oral yangekuwa yanawekwa wazi kama baadhi yetu humu kwa mara kadhaa wamehoji kuhusu matokeo ya Oral.
 
Mm yan sijakuelewa not selected for oral na ajira umepata juzi!!?
Not selected unajua manaa yake? Mtake msitake ukishaona neno not maana yake ni negative ...acha kutudangaya kuwa una not selected zen umechaguliwa hii haipo na haitotokea kamwe. Labda kama umepitia mlango wa nyuma

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Afu kumbe kukaa kwenye database ni miezi sita na sio mwaka
Mfano TRA wametangaza ajira mwenzi 4/2022 kuitwa usail feb 2023 hapo alaumiwe nani ....
1.Aliyetunga kanuni hakufuata miongozo ya ajira
2.Wanao kanda watahiniwa hawafuati kanuni za taasisi
Hapa ndo wanapomfanya Mama(Rais) achukie..
 
Mda/lga nyingi hazijatoka...niliopata sio Mda/lga me nimepata TMDA....
Ukiona not selected for oral na umefanya oral ina maana sana kwenye status..so hacheni kupeana matumaini kwamba status hazina maana asa asa kwenye App
Status zina maana gan kama ulikuta NOT SELECTED FOR ORAL na kazi umepata
Una uhakika NOT SELECTED unapata kazi???
 
Mimi nimepata ajira juzi tu,ila status za kwenye app zina maana sana,sema ni vile tu tunachukuliaga poa na tunapenda sana kutiana matumaini kwenye hamna...narudia tena tarehe 14 nlifanya oral ya Mda/lga nilitoka nkijua nimezingua.. before ilikua selected for oral nlivoingia kwenye app tarehe 15 nikakuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW..Sasa hapo napo unajipa matumaini tena kuwa tusiamini status???... Status zina maana sana asa asa za kwenye app..za kwenye web hazibadilikagi
So baada ya kupangiwa vp status imebadilika au niaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom