Hakim wa mwisho ni PDF, selected for oral interview manake umepass written na kufanikiwa kuingia oral, hakuna taasisi yeyote duniani inayotoaga signal za kua umepass oral interview na kua database, what if umepass oral wakakueka data base na nafasi ya kada yako isitokee tena?? Acheni kukaza mafuvu mwamuz wa mwisho ni PDF ya placement, zaman miaka ya 2014 ilikua utumishi wanakupigia cm na kukupa taarifa kua ulifanya usahili was taasisi x baada ya kukosa hiyo taasisi nafasi imepatikana taasisi y so tunakuandalia barua, na hapo ni baada ya nafasi kupatikana na ulifanya vizuri oral interview.
Au mnataka watu wawe wanachangia kwa majina yao original ndo muamini??
Wengi mnacomment kwa kupunguza mawazo na kujifariji, nowadays kila aliefanya oral anajua yupo database
Nafasi zilikua 100, oral mmeingia 300+ wote mnazan mpo database, sio rahisi hivyo