HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu hakunaga mstari unaotenganisha kati ya waliopata kutoka database na waliopata direct, hata watu waliofanya interview tar 23/11/2022 kwa post za Accountant II zilikua 100 na auditor 11 zilikua 80, mbaka mda huu post za Accounting II Wameitwa 50+ na auditor II Ni 10+ Ila kila atakae itwa kwa hizo post lazima neno data base litajwe ilhali open post bado hazijatimia na hiyo tarehe haitojatwa tena. Ikitajwa nijulishe nikupe100k
Sahihi mkuuu japo...

pdf ya jumatano imetoa watu 12- kutoka database wa kada yangu tuliyopiga february 2 mwaka huu, hazikua post za MDAs wala LGAs . nipost za WZara ya kilimo
 
Uzi ujikite kwenye kwanini utumishi wanatumia mda mrefu kutoa placement baada ya oral, mkianza kuongelea mambo ya change ya status, sijui lini database ya watu 1700+ itatoka huo ni uongo, watu kila Siku wanapata kazi kutoka database Leo hii kila mtu alieingia oral anaamini yupo database.
 
Kama ilivyo kwenye written passmark ni 50 and above, but sio guarantee inategemea na ufaulu wa watu plus ratio wanao taka kwamba unaweza pata 70 usiende oral, na kwenye oral ni hivyo hivyo, unaweza pata 60 na usiwekwe hata database inategemea ufaulu
You are wrong on this, written ni mchujo (inatumika kuchuja watu).

Oral ukipata 50+ ni LAZIMA uwekwe database, ishu inakuja kwamba ikipatikana nafasi wanaangalia kwenye database aliyefaulu zaidi anachukuliwa (Mwaka ukipita unatolewa database)
 
Sio lazima, inategemea mlikua wangapi na performance ikoje, kama ilivyo oral. Imagine watu wa mifugo waliofanya oral tar 19 Feb walikua 900 plus then nafasi zilikua360 kama sikosei, watu 800 wapate above50, 440 arobaini wote hawawez kua data base, database itategemea uwingi wa watu mlioingia oral na ufaulu ukoje na Mme pass VP.

Kujidanganya kila mwenye50 yupo data base ni uongo mkubwa sana. Unaongelea story za kusikia Mimi naongea ukweli na uhalisia
 
Sio lazima, inategemea mlikua wangapi na performance ikoje, kama ilivyo oral. Imagine watu wa mifugo waliofanya oral tar 19 Feb walikua 900 plus then nafasi zilikua360 kama sikosei, watu 800 wapate above50, 440 arobaini wote hawawez kua data base, database itategemea uwingi wa watu mlioingia oral na ufaulu ukoje na Mme pass VP. Kujidanganya kila mwenye50 yupo data base ni uongo mkubwa sana. Unaongelea story za kusikia Mimi naongea ukweli na uhalisia
Mama(rais) anaposema bora warudishe Taasisi yenyewe ameyaona haya....
Nafasi 360 unaita watu mia 800 lengo ni nn wote hao....?
Wangekuwa wanapunguza idadi ya kuita oral hata kwa passmark za juu watu wasingetengeneza thread hii /malalamiko yangepungua sanaa!!
 
ratio yao ni 1/3 mi naona nafuu hii coz .unaweza zingua written ukapasua kwenye nyomi ya oral
 
Sio lazima, inategemea mlikua wangapi na performance ikoje, kama ilivyo oral. Imagine watu wa mifugo waliofanya oral tar 19 Feb walikua 900 plus then nafasi zilikua360 kama sikosei, watu 800 wapate above50, 440 arobaini wote hawawez kua data base, database itategemea uwingi wa watu mlioingia oral na ufaulu ukoje na Mme pass VP. Kujidanganya kila mwenye50 yupo data base ni uongo mkubwa sana. Unaongelea story za kusikia Mimi naongea ukweli na uhalisia
Mimi naongelea muongozo wao kuhusu kuingia database, wewe unaongelea hisia zako juu la ilo jambo
 
ratio yao ni 1/3 mi naona nafuu hii coz .unaweza zingua written ukapasua kwenye nyomi ya oral
Hao wote waliobaki wataleta mrejesho gani kwa PSRS ....
Co kama watasema kujuana kwingi + rushwa+bahati...
Ni yaleyale kuiachia Taasisi kama zaman waajiri maana wote ni sentence moja kujuana +rushwa + bahati...

Hakuna utofauti waliochange hapo PSRS. Bado nabaki na kauli yangu Wapunguze watu Oral
 
Ni siku ntingine tena ndugu zangu leo wasakatonge.mh waziri ile kauli yake nayo imechangia zaidi kwenye huu uzi kutufarakanisha hadi ndugu yangu bwana Mwifwa akajikuta amepewa cheo kipya pale PSRS(Joke).ile kauli kiuhalisia ndio imekuja kuacha maumivu na maswali mengi sana kwa wadau,maana kama ni database ilikuwepo sana hata kabla ya kauli yake lkn wadau hawakuwa wanaiwaza sana kama baada ya kauli yake.

Kuna hapo juu pia mtu anasema kuwa kuwa ratio ya 3/1 ni kubwa sana hawawezi kufaulu wote ni kweli na mtu mwenye akili timamu kwa maswali ya oral ya utumishi ukitoka unajua kabisa kuwa umefanya vizuri au umezingua,na pia muongozo wa psrs kwa kada ambazo ni non teaching oral ukifikisha 50 ni kuwa umefaulu no matter mpo wangapi ila tu kinachokuja kutofautisha mimi na wewe hatujui wanaangalia nn may be kuna factors nyinginezo au ni mwenye marks nyingi.

Currently kumekuwa na shida ya pannelist japo hatuliongei hilo ila hili nalo linaumiza sana watu unakuta majina yanatoka watu wa panneli mojawapo karibu wote wameitwa na pannel nyungine unakuta hamna aliyeitwa,(refer waliofanya TASAC 2020 pannel ile aliyokuwepo MD hawakutoka watu na watu karibu wote wakatoka pannel ya pili ila maswali ni yaleyale na watu walijibu vizuri)hapa ndio mtu anashangaa zaidi.

Yote kwa ujumla changamoto ni nyingi kwa wasaka asali ila kikubwa ni kuomba Mungu afya na uzima,mimi nadhani mtu akipata asali asifanye kama wengine hawajui maana kuna watu wapo kazini kwa upepo wa panneli yao tu siku hiyo lkn wanakuja kuona wengine wazembe.

Tuendelee kumuomba Mungu afungue milango ya ridhki kwetu ili kufikia mafanikio,haijalishi mtu utapata namtumbo au nanjilinji huko ila kikubwa una uhakika wa maisha na unakopesheka unaeeza kurun shughuli ambazo tunazifanya sasa hv ila hatuna mitaji mikubwa.

mfwende sawadogo next pdf utakuwepo kaka,wewe ni mpambanaji.
 
Noted point
 
Leta huo mwongozo unaosema kila mwenye50 na above yupo database
Braza usiwe mbishi tu.kada ambazo ni non teaching ufaulu wa oral ni 50+ ila teaching ni 70+ na msipofika hii hata kama vipi nafasi wanareadvitise, hiyo ya mtu kupangiwa kazi mimi na wewe hatujui wanatumia criteria gani nyingine tofauti na ufaulu wa juu hawa wanaoajiriwa wengine watu wanadought kwa kuwa wamesoma nao wanawajua kabisa presentation zao zikoje.

Maana unakuta mtu umesoma nae bachelor miaka mitatu na unamjua kabisa presentation ya yy mwenyewe ni shida lkn keshalamba mrija so huko ndani wanaangalia vingi,si ajabu mtu akawa hawezi kujieleza sana lkn wao wakaona ni mzuri katika kung'amua mambo, wakamchukua wakakuacha wewe mwenye kiingereza mingiii ila swali unaload.
 
Hao wote waliobaki wataleta mrejesho gani kwa PSRS ....
Co kama watasema kujuana kwingi + rushwa+bahati...
Ni yaleyale kuiachia Taasisi kama zaman waajiri maana wote ni sentence moja kujuana +rushwa + bahati...
Hakuna utofauti waliochange hapo PSRS !!!!
Bado nabaki na kauli yangu Wapunguze watu Oral
usipoitwa oral interview utaaanza kulia kuwa hoo PSRS wana roho ngumu wamechoma nauli yangu.

mfano mm kuna written ya marketing nili score 58- na wao wkachukua waliiokua na passmark ya 60 kwenda oral ,watu kumi pekee walipiga oral ile.

nakumbuka nilikuja jukwaani hapa kulia lia kuwa utumishi wanazingua, hapa hapa jf kuna threads zipo zikiowaomba utumishi wachukue passmark ya 50 kwenda oral regardless/no matter ya performance ya watu.
 
Leta huo mwongozo unaosema kila mwenye50 na above yupo database
Soma vipengele hivyo:View attachment 2572023
Screenshot_20230331_134601.jpg
 
Sio lazima, inategemea mlikua wangapi na performance ikoje, kama ilivyo oral. Imagine watu wa mifugo waliofanya oral tar 19 Feb walikua 900 plus then nafasi zilikua360 kama sikosei, watu 800 wapate above50, 440 arobaini wote hawawez kua data base, database itategemea uwingi wa watu mlioingia oral na ufaulu ukoje na Mme pass VP. Kujidanganya kila mwenye50 yupo data base ni uongo mkubwa sana. Unaongelea story za kusikia Mimi naongea ukweli na uhalisia
Mzee acha ubishi fuata muongozo wa psra
 
Ni siku ntingine tena ndugu zangu leo wasakatonge.mh waziri ile kauli yake nayo imechangia zaidi kwenye huu uzi kutufarakanisha hadi ndugu yangu bwana Mwifwa akajikuta amepewa cheo kipya pale PSRS(Joke).ile kauli kiuhalisia ndio imekuja kuacha maumivu na maswali mengi sana kwa wadau,maana kama ni database ilikuwepo sana hata kabla ya kauli yake lkn wadau hawakuwa wanaiwaza sana kama baada ya kauli yake.
Kuna hapo juu pia mtu anasema kuwa kuwa ratio ya 3/1 ni kubwa sana hawawezi kufaulu wote ni kweli na mtu mwenye akili timamu kwa maswali ya oral ya utumishi ukitoka unajua kabisa kuwa umefanya vizuri au umezingua,na pia muongozo wa psrs kwa kada ambazo ni non teaching oral ukifikisha 50 ni kuwa umefaulu no matter mpo wangapi ila tu kinachokuja kutofautisha mimi na wewe hatujui wanaangalia nn may be kuna factors nyinginezo au ni mwenye marks nyingi.

Currently kumekuwa na shida ya pannelist japo hatuliongei hilo ila hili nalo linaumiza sana watu unakuta majina yanatoka watu wa panneli mojawapo karibu wote wameitwa na pannel nyungine unakuta hamna aliyeitwa,(refer waliofanya TASAC 2020 pannel ile aliyokuwepo MD hawakutoka watu na watu karibu wote wakatoka pannel ya pili ila maswali ni yaleyale na watu walijibu vizuri)hapa ndio mtu anashangaa zaidi.

Yote kwa ujumla changamoto ni nyingi kwa wasaka asali ila kikubwa ni kuomba Mungu afya na uzima,mimi nadhani mtu akipata asali asifanye kama wengine hawajui maana kuna watu wapo kazini kwa upepo wa panneli yao tu siku hiyo lkn wanakuja kuona wengine wazembe.

Tuendelee kumuomba Mungu afungue milango ya ridhki kwetu ili kufikia mafanikio,haijalishi mtu utapata namtumbo au nanjilinji huko ila kikubwa una uhakika wa maisha na unakopesheka unaeeza kurun shughuli ambazo tunazifanya sasa hv ila hatuna mitaji mikubwa.

mfwende sawadogo next pdf utakuwepo kaka,wewe ni mpambanaji.
Thank u champ,upepo wa pannel unaweza kukulambisha asali ama ukoko.

kuna shuhuda kibao hapa watu wakilalamikia pannel ikiwa skip kujibu maswali na pdf ikitoka wnakula ndoige ,wengine wakisifia pannel kuwa ilikua poa na pdf ikitoka wnalamba asali.
 
usipoitwa oral interview utaaanza kulia kuwa hoo PSRS wana roho ngumu wamechoma nauli yangu.

mfano mm kuna written ya marketing nili score 58- na wao wkachukua waliiokua na passmark ya 60 kwenda oral ,watu kumi pekee walipiga oral ile.

nakumbuka nilikuja jukwaani hapa kulia lia kuwa utumishi wanazingua, hapa hapa jf kuna threads zipo zikiowaomba utumishi wachukue passmark ya 50 kwenda oral regardless/no matter ya performance ya watu.
Ipi bora kutengeneza malalamiko ya wengi au ya mtu mmoja...
Mbona mm kuna interview moja nilipiga walikuwa wameita watu kumi oral lakini mark inasema 57 sikulalamika zaidi nilisema inanipa chachu ya kupambana zaidi nifike kwenye mark za juu kama wao waliopata ...
 
Thank u champ,upepo wa pannel unaweza kukulambisha asali ama ukoko.

kuna shuhuda kibao hapa watu wakilalamikia pannel ikiwa skip kujibu maswali na pdf ikitoka wnakula ndoige ,wengine wakisifia pannel kuwa ilikua poa na pdf ikitoka wnalamba asali.
Ni kweli nishawahi kuhudhuria saili 1 pale psrs kwa kwel walikua ni wababe wanafnya as if maliza uende zako...nilitoka nimenyongea sana na kz skupata
 
Mkuu, usiseme hivo. Kuna wadau kwenye App wana NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na PDF likaja wakawemo na wanalamba Asali ya Nyuki wadogo hapo TRA. Yes, I know them. Na humu wapo ni vile tu si kila kitu cha kuweka bayana. Tusipende kuweka neno liwe na maana ambayo sio maana yake.
Huu ni uongo wa kiwango cha lami huwezi kua na NOT SELECTED alafu ukatokea kwenye pdf labda kama una sali kwa ZUMARADI
 
Ni kweli nishawahi kuhudhuria saili 1 pale psrs kwa kwel walikua ni wababe wanafnya as if maliza uende zako...nilitoka nimenyongea sana na kz skupata
kuna mtu aliongea hapa kwenye thread hii kuwa kunataasisi imejaza watu kabila moja leo ndo hao wanaenda kufanya mahojiano na ww unategemea nn...zaidi wanahofu huyu mtu akiingia kwenye taasisi yetu atasumbua!!!ndo upepo uliopo panelist za Utumishi.

Tuzidi kuomba Zaidi Ipo siku Mungu atatutetea zaidi
 
Back
Top Bottom