HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sipingi boss,wacha tuisubr Ijumaa


Haimanish kua mwenye high marks ndo aende sjui TPDC au wapi. Ni kupick in order kutokea kwenye list ya walofaulu
Me nahis wanaenda kimarks[emoji848]
Mi nahisi kutangulia inatokana na mchakato wa ofisi husika kukamilika mapema, coz nimeanza kufuatilia tangu January. Ni mtazamo wangu, naweza kua wrong au right
 
Ijumaa



Hapana sidhan kama high marks, ni matter of chance, yan had dakika hii kila mtu fungu lake lipo tayari sema ni taratibu tu ndo hazijakamilika(michakato), rejea post za Accountant II, wa mwanzo kutoka walipangiwa VETA wengine halmashauri next wakaja pangiwa TPDC,
hivi TPDC kumbe kuna watu nao walitokea database..?
 
Waliopata Hongereni sana vijana.

NOTE: Database haizingatiwi kwa asilimia 100>> why? kuna watu wamepiga Interview since 2022/09 lakini ukifatilia vzr wanazingatia sahili ambazo ni recent hawagusi za miez 6-5 nyuma... so vijana wakae kwa kutulia.

mie nilidhan kusafisha Kanzidata ni kuvuta watu wa zamani kwanza ndio wafate hawa wapya ila mambo ndivyo sivyo.

Vijana Mungu yupo atatenda.
 
Unaweza ukawa na CPA au PSPTB lakini kama wanakubania wanakubania tu hawa jamaa
Yani mkuu hawa watu hawajui halmashauri zilivyo. Pale kila mtu ana kitengo chake hata kama ana certificate. Sasa wewe ndio umeajiriwa na CPA yako ukifika tayari ni threat watakupeleka ukawe muhasibu wa sekondari au zahanati. Nina mengi ya kuandika kuhusu halmashauri hasa hizi za mjini
 
Back
Top Bottom