HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Baada ya kuitwa oral TMO...
Kilichofuata ni tamko la Waziri Mhagama....
Hapa umepata picha Kiongozi yajayo ni Mungu asimame..
Ila TRA kuna office nyingi wamejenga zinahitaji wafanyakazi
Ilo lipo wazi mbn maana nahisi ndio ofisi inayoongoza Kwa kuwa na interns wengi tz[emoji16]my country.
 
Niko Halmashauri miaka 11 (since Feb 2012)
Katika mshahara ambao huwa sishauri kijana achukue ni TGS na hasa iwe halmashauri ya vijijini.

Nachowashauri, ingia TGS pata Cheki namba halafu sepaaa kwenye taasisi huko.

TGS ni njaa tu, unless una madili na maposho mengii mjini.

HR mwenye kuanza Kazi Leo Halmashauri ni TGS D = 745k HR huyohuyo akianza BRELA 1.6Mil

Wapi njaa?

#YNWA
Mm nilkuwa na swali hv sasa swala la kuhamia taasis nyingine kutoka halmashauri n lazima mpaka uwe umeshafanya kazi Kwa muda fulani hivi kwenye hio halmashauri au unaweza ondoka muda wowote ule ilimradi DED ameruhusu??
 
Back
Top Bottom