HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yaaan kwa ufupi ni kwamba....ka-appear mara mbili
Moja ni PDF ilopita the same position yaaaani hapo hapo Muhimbili na alikuwa pekeee yake
Halaf na PDF la leo ambapo leo yametoka majina mengi....
Sasa imekuwaje mtu mmoja kuitwa mara mbili
Mwanzo akiwa peke yake halaf mara ya pili akionekana kwenye watu wengi????
Hii ya kukaa kaaa na majina ndo inaleteleza misunderstanding za hivi
Au kuendelea kutangaza nafasi za kazi ilihali wapo watu kbao washafanya usaili wa kada hiyo hyo inayokuwa inaendelea kutangaza kazi
Kuna na hiii yaaan wanamwacha mtu alomaliza chuo 2014 15 na 16 labda wanakuja kumchukua wa 21 na 22...hii haijakaa sawa hata kidogo
Uwezo wa huyu alomaliza miaka 7 nyuma kukumbuka mambo aloyasoma miaka kbao ilopita haiwezi kulingana na hawa wa juzi juzi

Malalamiko hayataisha kwa staili hii
Sekretarieti ya Ajira
 
Mabwege sana hawa 😆😆😆😆 ,halafu yatakuwa humu yanafuatilia huu mjadala , tukikiwasha sana ndio yanatuma mkeka wa kupooza watu , always inakuwa hivi ,what does this suggests ?, ni makusudi au coincidence ? ,sidhani kama ni coincidence ,Mimi naona wanafanya makusudi ,godamn sons of swines !

Tuwawashie moto mpaka waache undezi wao
Kitenge tumloge awe gashi
 
Walioingia asalini leo wamegoma kabisa kujitokeza ili tuwape pongezi😳😁😳
Nadhani wanaogopa kuitwa mawakala wa PSRS, wajameni!! Mje tupeane hamasa na matumaini humu.
NB:
Wasaka asali wenzangu tupunguze ukali na makasiriko.
 
Back
Top Bottom