little finger
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 394
- 998
Nani anasababisha hizi expectations?Shida yetu expectation zetu zipo juu sana(hata mimi ilikuwa hivyo hivyo) kiasi kwamba kila kitu tulichokuwa tunafanya kabla tunaona hakifai tena tukiamini tutalamba asali. Kama upo sehemu umejishikiza we kamatia hapo hapo, assume kama hujafanya oral. Mimi expectation zilikuwa juu baada ya kuwa napitia humu jamii forum ila nilikuwa nikiwa kijijini huko hakuna mtandao hadi nilikuwa nasahau kama nna majibu nasubiri
Placement zingekua zinatoka baada ya wiki 3 kama wanavyosema haya yote yasingekuepo na hata huu uzi usingekuepo.
Post imetangazwa June, interview November, sasa hivi tunamalizia March hawajatoa placement, hii ndo inasababisha watu wanakua wanawaza placement muda wote...imagine majibu yangetoka december or january, watu wangekua washamove on wanaendelea na mambo mengine.
Anyway ushasema umelamba asali, ni vigumu kuwaelewa jobless[emoji3]