Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,839
- 10,953
Umelowa💦Hongereni wote mliolamba Asali, naona wengine wamebeba Mzinga kabisa.
Mimi kama WAKALA WA PSRS humu nawatakieni kila kheri na mkawe watumishi wema.
Umelowa💦Hongereni wote mliolamba Asali, naona wengine wamebeba Mzinga kabisa.
Mimi kama WAKALA WA PSRS humu nawatakieni kila kheri na mkawe watumishi wema.
Nilijua ktk wale 18 lazima uwepo mkuu👌nilikuitaa mkuu uje utoe ushuhudaa hongera sana bwashe
Hongeraa chief, tulikupa pole uzi mzima baada ya kukandwa TRA.Nakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .
Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.
Mungu mkubwa .
Mwifwa
abeche
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hongera sana.Nakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .
Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.
Mungu mkubwa .
Mwifwa
abeche
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ndo maana nilikutag[emoji108]nilikuitaa mkuu uje utoe ushuhudaa hongera sana bwashe
MWAMBA NIMEJIKUTA NIMEFURAHIA SANA KUPATA KWAKO UMEPITIA MACHUNGU MNOO KANA MIMI KAMA KWA SIKU ZA NYUMA ULIELEZEA HUMU, HONGERA SANA NIMEFARIJIKA SANANakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .
Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.
Mungu mkubwa .
Mwifwa
abeche
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
kalamba taasis gani ?Nilijua ktk wale 18 lazima uwepo mkuu
SAwa fanya hivyoWakuu utumishi wanazingua sana hadi tulalamike ndio wanatoa PDF ya kutuliza
Tunataka PDF la database 1767
Mnaonaje tumtumie mange kimambi Instagram ili amtag mama na waziri taarifa ifikie Uma maana jobless tunateswa Sana hadi sio poa cha kushangaza matangazo ya kazi Kada ambazo database ina watu asa wanatafuta posho tu bila kujali na sisi jobless tunatumia gharama na changamoto
Pole sana mkuu, be strong next time ni itakuwa upande wako, umeanza kupambana siku nyingi ila usikate tamaa hata kidogo.Habari zenu.
Mim ni mtafuta ajira na nimekuwa nikiufuatilia huu uzi lakini kwa ID nyingine.
Nilikuwa nasikilizia asali ya tpdc, ila pdf leo limetoka na nimekosa asali..
Nina swali
1. Kuna mtu yeyote alikuwa anasikilizia asali alafu akakosa (yan alifanya oral kbsa), na kwenye app status akaandikiwa not selected for oral baada ya pdf kutoka?
2. Niliwah kufanya interview oral OSHA mwaka 2020
Kwenye website status inasema bado selected for oral
View attachment 2564170
ila kwenye app status inasema not selected for oral (means hata kwenye database sikuwepo)
View attachment 2564172
Sasa hii ya tpdc, status kwenye app na website zote bado zinasema selected for oral even baada ya pdf leo kutoka. Hii inamaanisha nipo kwenye database? (Best loser[emoji848])
Website
View attachment 2564178
AppView attachment 2564181
Mwisho, hongeren wote mliopata asali.. kuna wana watatu nawajua wamepata asali leo la tpdc (wawili) na mnh (mmoja).. na hawana hata connection
Nimefurahi sana Kuona ndugu yetu umelamba asali,nakumbuka zilivyotoka za TRA uliongea Kwa hisia Kali sana,ya kuwa mke wako anatarajia kujifungua,na una madeni mengi,Leo hii umesubiri na Umepata kazi.Hakika Mungu ni mwema sana.Wakati wa Mungu ni Wakati sahihi.Hongera sana Mwamba.Mungu alipanga Uwe huko ulikopangiwa Leo.Nakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .
Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.
Mungu mkubwa .
Mwifwa
abeche
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ngoja wa RUWASA na wengineo tuendelee kuwa na subira TUAMINI IN A POSITIVE OUTCOMESMWAMBA NIMEJIKUTA NIMEFURAHIA SANA KUPATA KWAKO UMEPITIA MACHUNGU MNOO KANA MIMI KAMA KWA SIKU ZA NYUMA ULIELEZEA HUMU, HONGERA SANA NIMEFARIJIKA SANA
Inabidi twende chadema , watusaidie kupushKwann hii ishu vyama mbadala(UPINZANI) hapa nchini visilivalie njuga kwa kuliaddress vizuri TATZIZO LA AJIRA kwa ujumla wake lisemwe kwa umma ili raia wapate uelewa wa kinachoendelea??
Hili litaamsha hisia kali za vijana ..
Hongeraa sn brother 👊
Ahsante sana mkuu nyinyi ni family yangu ile siku nilichanganyikiwa kwa kweliHongeraa chief, tulikupa pole uzi mzima baada ya kukandwa TRA.
kwa upepo unavoenda bado mimi na wadau wachache kutusua PSRS
Hongera mwaya dah raha sanaNakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .
Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.
Mungu mkubwa .
Mwifwa
abeche
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
AISEE MUNGU ANAFANYA HONGERA SANA Twinawe NA JUMAPILI NITAENDA KANISANI KUKAZIA MAOMBI WOTE HUMU TUPATE ASEE NA WALIOPATA AWAONGOZE NA TOBA YA KULALAMIKA TUSAMEHEWE,,,,Ngoja wa RUWASA na wengineo tuendelee kuwa na subira TUAMINI IN A POSITIVE OUTCOMES
Posho+ mbususu 😋Azijue kwa upana wake na changamoto tuliyo nayo ikiwezekana hizo posho wazifute maana ndio zinazisababisha tuteseke au utumishi watumbuliwe
Acha kuwa desperate Mkuu.Jobless wenzangu mnaonaje tumtafute mange kimambi Instagram tumuombe atupostie kuhusu PDF la database la waziri alafu taarifa imfikie mama na waziri. Pia tuseme changamoto zote utumishi wanazitupa tujue moja kuliko kunyamaza na kuvumilia vitu visivyovumilika.
Mfano kutangaza kazi za Kada ambazo database watu wapo.
Kuhusu uwazi matokeo ya oral na ijulikane nani kapita database.
Tumechoka na kupitia maumivu mengi plus gharama kwa kuhangaika na utumishi. Tusikubali kudanganywa kama watoto wakiona tumelalamika wanatoa PDF za kuzugia tena ndogo page hadi 1 alafu cha ajabu watu majina yanajirudia
Ahsante sana mdogo wangu nakuombea nawe siku moja ufeel navyofeelHongera mwaya dah raha sana