HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yaaan kwa ufupi ni kwamba....ka-appear mara mbili
Moja ni PDF ilopita the same position yaaaani hapo hapo Muhimbili na alikuwa pekeee yake
Halaf na PDF la leo ambapo leo yametoka majina mengi....
Sasa imekuwaje mtu mmoja kuitwa mara mbili
Mwanzo akiwa peke yake halaf mara ya pili akionekana kwenye watu wengi????
Hii ya kukaa kaaa na majina ndo inaleteleza misunderstanding za hivi
Au kuendelea kutangaza nafasi za kazi ilihali wapo watu kbao washafanya usaili wa kada hiyo hyo inayokuwa inaendelea kutangaza kazi
Kuna na hiii yaaan wanamwacha mtu alomaliza chuo 2014 15 na 16 labda wanakuja kumchukua wa 21 na 22...hii haijakaa sawa hata kidogo
Uwezo wa huyu alomaliza miaka 7 nyuma kukumbuka mambo aloyasoma miaka kbao ilopita haiwezi kulingana na hawa wa juzi juzi

Malalamiko hayataisha kwa staili hii
Hapo ukute riziki ya mtu ya mchongo ishazibwa🤣🤣🤣
 
Wakuu utumishi wanazingua sana hadi tulalamike ndio wanatoa PDF ya kutuliza
Tunataka PDF la database 1767
Mnaonaje tumtumie mange kimambi Instagram ili amtag mama na waziri taarifa ifikie Uma maana jobless tunateswa Sana hadi sio poa cha kushangaza matangazo ya kazi Kada ambazo database ina watu asa wanatafuta posho tu bila kujali na sisi jobless tunatumia gharama na changamoto
Point
 
muhimu sana hii afsa ,nchi yetu sotee
 
MOCU ilikuwa oral yangu ya kwanza ninaiman nitaingia kwenye oral zengine. Kwa mimi kozi niliyoisoma(Public Administration) in relation to GPA,siamin kama kutakuwa na database, so kwa upande wangu i will not believe on database.

Nimekuja kugundua kuwa unaweza ukajibu vizur kabisa na usipate nafasi. Naamini nilikua na confidance nilijibu vizur tyu maana majibu yalikuwa so open.Lakin kuna sababu nyingi sana za ziada inaweza kuchakia mtu kupata nafasi:
1.Experience
2. Age
3.Upepo wa panel(minor)

Kama niongea lugha ambayo itawakera watu naomba radhi.
Duh aisee mambo n mengi
 
Hongera sana kwake, na akawe mtumishi mwema!

Mimi kama wakala wa PSRS huyo tumempendelea kama ilivyo kawaida yetu kufanya faulu.

Siwezi kuwaambia tena mvumilie maana mimi ndio natambulika kama wakala siku hizi.
Mwifwa ndugu hapo ndo unaharibu cv yako.

Nakushauri kuwa kama zamani, uvumilivu ni sifa mojawapo ya mtumishi wa umma.
 
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
, daaah kwa jinsi watu walivyokaa bench muda mrefu wame-develop investigative skills...Hongera mwamba kwa kuwa mfuatiliaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu utumishi wanazingua sana hadi tulalamike ndio wanatoa PDF ya kutuliza
Tunataka PDF la database 1767
Mnaonaje tumtumie mange kimambi Instagram ili amtag mama na waziri taarifa ifikie Uma maana jobless tunateswa Sana hadi sio poa cha kushangaza matangazo ya kazi Kada ambazo database ina watu asa wanatafuta posho tu bila kujali na sisi jobless tunatumia gharama na changamoto

Mabwege sana hawa 😆😆😆😆 ,halafu yatakuwa humu yanafuatilia huu mjadala , tukikiwasha sana ndio yanatuma mkeka wa kupooza watu , always inakuwa hivi ,what does this suggests ?, ni makusudi au coincidence ? ,sidhani kama ni coincidence ,Mimi naona wanafanya makusudi ,godamn sons of swines !

Tuwawashie moto mpaka waache undezi wao
 
Kuna mzee alikuwa mortuary miaka mingi iliyopita... ana nyumba kadhaa na watoto walisoma bila shida, kwake hakukuwa na njaa ila baada ya kustaafu ile kazi kawa chizi. Yaan zimecheza. Unaambiwa madudu ya kule lazima udate
Duuu!!! Ndo maana wengi wao huwa ni watumiaji wa kilaji hadi mchana.[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu utumishi wanazingua sana hadi tulalamike ndio wanatoa PDF ya kutuliza
Tunataka PDF la database 1767
Mnaonaje tumtumie mange kimambi Instagram ili amtag mama na waziri taarifa ifikie Uma maana jobless tunateswa Sana hadi sio poa cha kushangaza matangazo ya kazi Kada ambazo database ina watu asa wanatafuta posho tu bila kujali na sisi jobless tunatumia gharama na changamoto
Kwann hii ishu vyama mbadala(UPINZANI) hapa nchini visilivalie njuga kwa kuliaddress vizuri TATZIZO LA AJIRA kwa ujumla wake lisemwe kwa umma ili raia wapate uelewa wa kinachoendelea??
Hili litaamsha hisia kali za vijana ..
 
Back
Top Bottom