HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu utumishi wanazingua sana hadi tulalamike ndio wanatoa PDF ya kutuliza
Tunataka PDF la database 1767
Mnaonaje tumtumie mange kimambi Instagram ili amtag mama na waziri taarifa ifikie Uma maana jobless tunateswa Sana hadi sio poa cha kushangaza matangazo ya kazi Kada ambazo database ina watu asa wanatafuta posho tu bila kujali na sisi jobless tunatumia gharama na changamoto
UKISIKIA NGUMI MLUNGA MBUNGA NDIO HII SASA KWA MAJOBLES KUTOKA PSRS😂
 
Jobless wenzangu mnaonaje tumtafute mange kimambi Instagram tumuombe atupostie kuhusu PDF la database la waziri alafu taarifa imfikie mama na waziri. Pia tuseme changamoto zote utumishi wanazitupa tujue moja kuliko kunyamaza na kuvumilia vitu visivyovumilika.
Mfano kutangaza kazi za Kada ambazo database watu wapo.
Kuhusu uwazi matokeo ya oral na ijulikane nani kapita database.

Tumechoka na kupitia maumivu mengi plus gharama kwa kuhangaika na utumishi. Tusikubali kudanganywa kama watoto wakiona tumelalamika wanatoa PDF za kuzugia tena ndogo page hadi 1 alafu cha ajabu watu majina yanajirudia
nakuunga mkono. haiwezani eti wanatangaza nafasi moja moja wakat database kuna watu wa hizo kada. wanaitaje watu waliofaulu usaili kwenye saili mpya. huko nikuongeza garama kwa jobless maana kwenda tena kwenye usaili ni garama. wao kisa wanalipwa posho 100k na serekali kuendesha usaili wasione kuwa ss jobless tuna hizo hela kama wao.

inaumiza sana kuona matangazo mapya ya kazi wakati mwaka jana kuna kada imefanya usaili zaidi ya taasisi tatu. kweli wanakosa watu wa database kwenye hivo vinafasi vimoja moja wanavotangaza.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Kwann hii ishu vyama mbadala(UPINZANI) hapa nchini visilivalie njuga kwa kuliaddress vizuri TATZIZO LA AJIRA kwa ujumla wake lisemwe kwa umma ili raia wapate uelewa wa kinachoendelea??
Hili litaamsha hisia kali za vijana ..
upinzani umekufa bongo,mama samia kawalambisha asali . wameunga mkono juhudi, yani kikubwa kilio chetu kimfikie Rais mwenyewe maana ana huruma na vijana ila watendaji wake baadhi sio waaminifu/wana muhujumu
 
Kwann hii ishu vyama mbadala(UPINZANI) hapa nchini visilivalie njuga kwa kuliaddress vizuri TATZIZO LA AJIRA kwa ujumla wake lisemwe kwa umma ili raia wapate uelewa wa kinachoendelea??
Hili litaamsha hisia kali za vijana ..
Wapinzani wenyewe wakishapata ruzuku wote chalii, mambo yasiasa naona hata wapinzani wakishika ni yaleyale tuu kama kenya
 
nakuunga mkono. haiwezani eti wanatangaza nafasi moja moja wakat database kuna watu wa hizo kada. wanaitaje watu waliofaulu usaili kwenye saili mpya. huko nikuongeza garama kwa jobless maana kwenda tena kwenye usaili ni garama. wao kisa wanalipwa posho 100k na serekali kuendesha usaili wasione kuwa ss jobless tuna hizo hela kama wao.

inaumiza sana kuona matangazo mapya ya kazi wakati mwaka jana kuna kada imefanya usaili zaidi ya taasisi tatu. kweli wanakosa watu wa database kwenye hivo vinafasi vimoja moja wanavotangaza.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Pia liongelewe swala la placement kuchukua mda mrefu sana kutoka tangazo la kazi hadi kuitwa kazin.
 
Yeah twendeni kwa mange kimambi au mmoja atume habar tuiforward insta au WhatsApp yake tupambanie kusambaza habar Hadi mama azipate hakuna kuogopa wala kuvumilia tena
Lkn sina hakka kama mama hajui kilio cha hivi
 
Msiwabeze kihivyo!
Au mmesahau ajenda ya UFISADI miaka hyo walivyoivalia njuga watu waliamka

Vp hili wakiliamulia wakalivalia njuga ni mwanzo mzuri wa kuhabarisha yanayoendelea
Ni kweli mkuu ila ndio wasilale sasa
 
Yaaan kwa ufupi ni kwamba....ka-appear mara mbili
Moja ni PDF ilopita the same position yaaaani hapo hapo Muhimbili na alikuwa pekeee yake
Halaf na PDF la leo ambapo leo yametoka majina mengi....
Sasa imekuwaje mtu mmoja kuitwa mara mbili
Mwanzo akiwa peke yake halaf mara ya pili akionekana kwenye watu wengi????
Hii ya kukaa kaaa na majina ndo inaleteleza misunderstanding za hivi
Au kuendelea kutangaza nafasi za kazi ilihali wapo watu kbao washafanya usaili wa kada hiyo hyo inayokuwa inaendelea kutangaza kazi
Kuna na hiii yaaan wanamwacha mtu alomaliza chuo 2014 15 na 16 labda wanakuja kumchukua wa 21 na 22...hii haijakaa sawa hata kidogo
Uwezo wa huyu alomaliza miaka 7 nyuma kukumbuka mambo aloyasoma miaka kbao ilopita haiwezi kulingana na hawa wa juzi juzi

Malalamiko hayataisha kwa staili hii
Tulisema hapa psrs, ipunguziwe majukumu kabisa, taasisi na mashirika wafanye usaili wenyewe, SS nadhani , tunaanza kuongea lugha moja
 
Back
Top Bottom