HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
PDF la database 1767 limeyeyuka ebu tumpigie waziri atupe majibu
Hapo Jobless tuwe wavumilivu....Huwezi kutoa Data base wakati kuna watu walifanya usail bado hawajapangiwa vituo vya kazi kabla ya tamko lake Mhe. Mhagama! Tulilalamika kuhusu PSRS uwajibikaji wao PSRS waka update watu kwenda kuongeza nguvu (data base) upande IT....
 
Hapo Jobless tuwe wavumilivu....Huwezi kutoa Data base wakati kuna watu walifanya usail bado hawajapangiwa vituo vya kazi kabla ya tamko lake Mh Mhagama!!!!
Tulilalamika kuhusu PSRS uwajibikaji wao PSRS waka update watu kwenda kuongeza nguvu(data base) upande IT....
Kwan si kuna walioko kwenye database na wana muda mrefu mno kuliko ambao hata results hazijatoka?
 
Huu ukaguzi wa TEHAMA unafanywa hawa wakaguzi wa CPA au wakaguzi waliosoma ICT ?
Kuna aina hizi za ukaguzi ambazo zinaweza kujibu hoja yako.

-Ukaguzi wa Mifumo ya TEHAMA
-Ukaguzi wa Kiuchunguzi
-Ukaguzi wa Ufanisi

Tupo kwenye digitalization, hata awamu hii ya Kichere inajipambanua ni awamu ya Digitalization, kazi zake imejielekeza kidigital ili iweze kuzifanya vizuri zaidi.

Siku hizi TEHAMA inatumika sana katika kurun mambo mengi ikiwemo utoaji wa huduma za Afya. Katika huo ukaguzi wa Mifumo ya TEHAMA lazima wachunguze na kukagua jinsi data zinavyokuwa developed, kutunzwa na kutumika katika utendaji kazi wa hiyo mifumo.

-Ukaguzi wa Kiuchunguzi ni ukaguzi unaolenga kuzuia na kugundua makosa, kama vile udanganyifu, ubadhirifu na rushwa kwa kutumia wa ujuzi wa ukaguzi kwa hali ambazo zina mwelekeo wa kisheria.

-Ukaguzi wa Ufanisi huu unaangazia matumizi sahihi ya fedha kama yametumika kulingana na thamani yake na kufuata sheria.

Kwa hiyo katika ukaguzi wowote ule, matumizi ya data hayaepukiki, lazima data zitumike kwani wakati wa kukagua au kuchagua eneo la kukagua lazima data zikuongoze katika uchaguzi wa eneo la kukagua.
 
Asante sana Mkuu. Majukumu kidogo yananizidi nguvu, na hata hivyo dogo ninayempigania amesoma masomo ambayo nafasi zao zinatoka mara chache sana kwa mwaka.

Ndio maana najaribu kuingia lakini majukumu ni mengi na motisha ya kuwa active JF muda mwingi inakuwa ni ndogo.

Mapambano yaendelee kamanda, mpaka kieleweke.
Pamoja sana chief.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna aina hizi za ukaguzi ambazo zinaweza kujibu hoja yako.

-Ukaguzi wa Mifumo ya TEHAMA
-Ukaguzi wa Kiuchunguzi
-Ukaguzi wa Ufanisi

Tupo kwenye digitalization, hata awamu hii ya Kichere inajipambanua ni awamu ya Digitalization, kazi zake imejielekeza kidigital ili iweze kuzifanya vizuri zaidi.

Siku hizi TEHAMA inatumika sana katika kurun mambo mengi ikiwemo utoaji wa huduma za Afya. Katika huo ukaguzi wa Mifumo ya TEHAMA lazima wachunguze na kukagua jinsi data zinavyokuwa developed, kutunzwa na kutumika katika utendaji kazi wa hiyo mifumo.

-Ukaguzi wa Kiuchunguzi ni ukaguzi unaolenga kuzuia na kugundua makosa, kama vile udanganyifu, ubadhirifu na rushwa kwa kutumia wa ujuzi wa ukaguzi kwa hali ambazo zina mwelekeo wa kisheria.

-Ukaguzi wa Ufanisi huu unaangazia matumizi sahihi ya fedha kama yametumika kulingana na thamani yake na kufuata sheria.

Kwa hiyo katika ukaguzi wowote ule, matumizi ya data hayaepukiki, lazima data zitumike kwani wakati wa kukagua au kuchagua eneo la kukagua lazima data zikuongoze katika uchaguzi wa eneo la kukagua.

Impressive.

Inapendeza kuona walamba asali kupitia utumishi wakionesha they are well deserved kwa kutema madini kuhusu wanachokifanya, after being exposed for few weeks.

Kula chuma hicho[emoji91]
 
Kaa chonjo mkuu tunaweza kukuibukia tuje tukuchunguze ufanisi wa utendaji kazi wako.[emoji3][emoji3][emoji3]

Jinsi unavyowasajili Importers, unavyoregister drugs, unavyo run pre-clinical studies n.k kama unafuata Acts zote zinazohusika.
 
Hapo Jobless tuwe wavumilivu....Huwezi kutoa Data base wakati kuna watu walifanya usail bado hawajapangiwa vituo vya kazi kabla ya tamko lake Mh Mhagama!!!!
Tulilalamika kuhusu PSRS uwajibikaji wao PSRS waka update watu kwenda kuongeza nguvu(data base) upande IT....
We jamaa unaongea vitu gan?
 
Aliyefatilia Jana atupe mrejesho;
TBC saa 11 jioni aliitisha waandishi wa habari
USIKOSE KUTAZAMA KIPINDI CHA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KATIKA ENEO LA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA
IMG_20230319_090849.jpg
 
Back
Top Bottom