HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Daaah...
Hapo nyuma kidogo kabla ya baadhi yetu kupungua kutoka ujobless kwenda kwenye mirija ya asali lugha ilkuwa moja
Sasa hv naona tunaparuana balaaa....
Kushajengeka dhana ya watoto wa maskini na matajiri...
Wenye kulamba asali na ambao bado hawajalamba asali.....
Mm nishasema hata nikilamba asali haitanifanya kunyamazia mapungu ya wazi kabisa yanayotokana PSRS na wote watoa mirija ya asali.....na sio vyema vijana kuendelea kunangana sisi kwa sisi badala ya kusimama kwa pamoja
Wanaoilalamikia UTUMISHI wasionekane wana nongwa kisa tu hawajatoboa.......mapungufu ya utumishi aiseeee yanastressisha basi tu ukishatoboa waweza waona wenzio kama wazembe na wasiojituma kabisa
We waache waandike ujinga tu , tunaona vijana wenzetu wanavyosuffer kitaa huku ,wao wanaleta uzwazwa hapa .
This is no joke
 
Utumishi watangaziwe state of emergency na kufanyiwa mabadiliko ya lazima na kwa uharaka sana kama ni kuongezewa nguvu kazi ,budget na vitendea kazi waongezewe , kazi zitangazwe faster watu wapigwe usahili na kupewa kazi faster Ila hii speed ya konokono hamna kitu hapa
 
[emoji276]
20230317_124108.jpg
 
Nipo kiwanda cha korie -wilmar hapa sido dsm .kibarua ni 5k ukiotea kitengo ni 8k per dei ila kulipwa mpaka yesu ashuke kila leo utaambiwa malipo kesho,
unaweza jiona slave in ure homeland . kukosa mrija wa asali kusikie kwa mtu sawadogo nimepauka balaa, huyu maza mhagama angeifafanua kauli yake maana tz kijana kama huna mishe ni afadhali kuzimu
 
Dah na hivi vikeka vya kb duh safar bado ndefu snaaa
 
Nipo kiwanda cha korie -wilmar hapa sido dsm .kibarua ni 5k ukiotea kitengo ni 8k per dei ila kulipwa mpaka yesu ashuke kila leo utaambiwa malipo kesho,
unaweza jiona slave in ure homeland . kukosa mrija wa asali kusikie kwa mtu sawadogo nimepauka balaa, huyu maza mhagama angeifafanua kauli yake maana tz kijana kama huna mishe ni afadhali kuzimu
8000 kwa siku alafu ya kuzungushwa, Kwani wewe binafsi una ujuzi gani mkuu?
 
Nipo kiwanda cha korie -wilmar hapa sido dsm .kibarua ni 5k ukiotea kitengo ni 8k per dei ila kulipwa mpaka yesu ashuke kila leo utaambiwa malipo kesho,
unaweza jiona slave in ure homeland . kukosa mrija wa asali kusikie kwa mtu sawadogo nimepauka balaa, huyu maza mhagama angeifafanua kauli yake maana tz kijana kama huna mishe ni afadhali kuzimu
Kaka unasubiri database ya usaili/Saili zipi?
 
tena safari bado mbichii
una scrow majina 10, tayari pdf imeisha haloo
Dahhh!!

Mm ku scrow mpk nimechoka saa hizi na download PDF then naenda search na weka jina naweka herufi moja moja then result inasoma ila jinsj navyozidi kuandika jina mwshon inanambia result no found, kwa ujungu hapoo hapoo na futa na hiyo PDF then nashusha pumzi najifariji one day yes! Huu mwaka haotoisha bila kupata asali
 
Haya mambo kaka ni suala la muda tu wakati wako ukifika, utashangaa mambo yote yanaenda sawa, Mungu ni mwema kwetu sisi wote na kila mtu atapata asali kwa wakati wake. Hamna kukata tamaa kaka mpk kieleweke na kama una received yoyote piga msuli heavy.
 
Asanteh Broo...

Tunasikitika lkn hatukati tamaa n "aluta continua"
 
Dahhh!!

Mm ku scrow mpk nimechoka saa hizi na download PDF then naenda search na weka jina naweka herufi moja moja then result inasoma ila jinsj navyozidi kuandika jina mwshon inanambia result no found, kwa ujungu hapoo hapoo na futa na hiyo PDF then nashusha pumzi najifariji one day yes! Huu mwaka haotoisha bila kupata asali
Soma majina mkuu, wakati mwingine wanaweza kuikosea herufi moja ya jina lako ukakosa kujiona kumbe upo ndani.
 
Mkuu ushaanza Majukumu huko TARI....?
Kuna dada mmoja namjua aliitwa police. Yupo dawati la jinsia na amesomea sociology. Hajui hata kupiga saluti. Mwingine ni IT. Huyu dogo ni balaa kwenye maswala ya tech. Alisomea UK, sasa hivi yupo polisi kitengo cha cyber na hajaenda depo.
 
Back
Top Bottom