P-Value
Senior Member
- Dec 24, 2022
- 114
- 428
Ni suala la muda tu kaka,na hakuna kukata tamaa ipo siku yako inakuja mkuu, mtafurahi ushindi wenu wa pamoja na shemela....Kazi iendeleeWife amepata kazi kwenye mkeka huu, bado mimi dah
Ni suala la muda tu kaka,na hakuna kukata tamaa ipo siku yako inakuja mkuu, mtafurahi ushindi wenu wa pamoja na shemela....Kazi iendeleeWife amepata kazi kwenye mkeka huu, bado mimi dah
Akipata ni kama mmepata wote,shukuru Mungu,zamu yako yajaWife amepata kazi kwenye mkeka huu, bado mimi dah
Hongera kwao waliolamba asali, hakika database sasa imeanza kuonyesha u-mwamba.Mkeka wa kufungulia sabato. View attachment 2555698
Umeongea kwa uchungu sana😥😥😁Nipo kiwanda cha korie -wilmar hapa sido dsm .kibarua ni 5k ukiotea kitengo ni 8k per dei ila kulipwa mpaka yesu ashuke kila leo utaambiwa malipo kesho, unaweza jiona slave in ure homeland.
Kukosa mrija wa asali kusikie kwa mtu sawadogo nimepauka balaa, huyu maza mhagama angeifafanua kauli yake maana tz kijana kama huna mishe ni afadhali kuzimu.
Hata hivyo mshukuru Mungu mambo yanasonga.Wife amepata kazi kwenye mkeka huu, bado mimi dah
Hongera yake na ww zamu yako yaja, mdogo mdogo tutafika.Wife amepata kazi kwenye mkeka huu, bado mimi dah
Hyo COASCO???? Sina uhakika,basi me najua LGA ni halmashauri tu
Hongera sana kwake, akawe mtumishi mwema!Wife amepata kazi kwenye mkeka huu, bado mimi dah
Huku kwema pia mkuu tunapambana na gharama za maisha tu.Kwema kaka za Dodoma
Idadi yao imetumia wengine ni magalasaSio wote walioitwa TRA !!!!Kuna ndugu yanguTena upande wa diploma ndo waliwapa kipaumbele wanawake wengi sanaaa!!!kumbuka walitoa data base zaidi ya watu 100 tofauti na tangazo linavyojieleza....
Ninapojiuliza wanaotoka oral nao kuna watu wanaandikiwa Not seleted for Oral ina maana wapo below 50%au hawakuattend siku ya usail
Kwani zile interview si zilikua zinaitwa MDA/LGA- ofisi ya mkoa
-ofisu ya wilaya
- Halmashauri nknk
Hizo ziko under LGA
Mda na Lga za 23/11/2023 naona wanatoa kwa mafungu (accountant II na auditor II)Hivi sasa zimebaki placement zipi wadau!?
MDA -Ministries, Departments, AgenciesKwani zile interview si zilikua zinaitwa MDA/LGA
Inawezekana ni za ministry kwenye MDA
Angalia tangazo lenyeweMDA -Ministries, Departments, Agencies
LGA- Local Goverments Authorities
Ukielewe maana ya hayo maneno mawili ndo utaelewa sehemu kubwa ya hayo majina ya hivi vipidiefu vinavyotoka ni MDA na LGA, kwa hiyo wanawachukua mdogo mdogo tu, Cha msingi angalia tarehe ya interview utagundua
Huu mwendo wa hawa Jana ndo utatumika tukikubali kuruhu taasisi za government ziendeshe zenyewe sahili.