Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,719
Namaanisha oral mlipiga lini?Placement hazijatoka. so sijui kama nimepata au la.
Namaanisha oral mlipiga lini?Placement hazijatoka. so sijui kama nimepata au la.
Ndani ya tisheti za Chama, rangi ya kilimo[emoji3][emoji3][emoji3]Kilimo michongo ni mingi sana kwao zama hizi. Naona mama na serikali yake wameamua kukivalia njuga kilimo.
View attachment 2558899
Hahaha Naona Mkuu wao hapo kapiga gwanda na wasikilizaji wakiwa kwenye rangi za chama.Kilimo michongo ni mingi sana kwao zama hizi. Naona mama na serikali yake wameamua kukivalia njuga kilimo.
View attachment 2558899
Rangi ya kilimo kidunia ni kijani, hiyo kufanana na ya chama "is just a coincidence"Hahaha Naona Mkuu wao hapo kapiga gwanda na wasikilizaji wakiwa kwenye rangi za chama.
Ndiyo maridhiano ya Mama hayo.
Leo naona kuna dalili ya pdf.
Kuna mdau aliweka update ya zilizobaki za November na December, ngoja nikutafutie hapa chapNovember na December bado kwani? Waingie January na February sasa.
November na December bado kwani? Waingie January na February sasa.
Huwa hawatoi kwa systematic order. Mbona kuna za January zilishatokaDuuuuuuh tusubiri mwezi wa tano sasa maana iyo list hadi iishe sio leo
Waziri afanye mpango hata watu database waje watuchukue huko tumekaa tumepoa sana,Kilimo michongo ni mingi sana kwao zama hizi. Naona mama na serikali yake wameamua kukivalia njuga kilimo.
View attachment 2558899
daahhh!!Naona insu ya database imepotea
Itaacha kupoteza kama waziri alisema Kuna database, nae kuingia mitiniNaona insu ya database imepotea
Nchi hii ni ngumu sanaa.....Naona insu ya database imepotea
Oi watafuta mirija ya asali, mlisha wait kujiuliza Zanzibar wao wanafanya je saili zao 😂
Wanafanyaje hawa jamaa na je wanaomba kupitia psrs hii au ya kwao huko?
Good, wapo jamaa zangu wengi tuu wamekula shavu hapo.Kilimo michongo ni mingi sana kwao zama hizi. Naona mama na serikali yake wameamua kukivalia njuga kilimo.
View attachment 2558899