mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
Ngoja tuone pdf mpya wiki hii.
Ndio mkuu, most tupo huku, mikoani wamepelekwa wachacheKumbe upo hapo Makao Makuu kaka
Wiki hii tena...na wakat leo J.2 au unamaanisha wiki ingine?? Au kuna li-PDF la kufungia wiki linakuja?ngoja tuone pdf mpya wiki hii
Siku tukifika huko tutajulishanaNdio mkuu, most tupo huku, mikoani wamepelekwa wachache
Umetoboa?Elfu 3 na mia 3 na kdg
Bado sijatoboa, kuitwa Oral sio kutoboa. Baada ya Oral nikiitwa tena nd nitasema mmetoboa.Umetoboa?
Karibu sana mkuuSiku tukifika huko tutajulishana
Hatua nzuri, upo hatua ya final.Bado sijatoboa, kuitwa Oral sio kutoboa. Baada ya Oral nikiitwa tena nd nitasema mmetoboa.
Kama umefika oral ni hatua nzuri.Bado sijatoboa, kuitwa Oral sio kutoboa. Baada ya Oral nikiitwa tena nd nitasema mmetoboa.
Usaili wa mahojiano TAKUKURUAdobe Acrobat
acrobat.adobe.com
Mara zote wenye GPA kubwa wanakula ndoige mapema katika usaili 😅😅Hatua nzuri, upo hatua ya final.
Kakaze hadi tone la mwisho la jasho.
Pepa ilikuwa tight? kuna Dogo wa GPA kubwa naona kachezea ndoige
connection/vyombo vya ulinzi ni balaaHatua nzuri, upo hatua ya final.
Kakaze hadi tone la mwisho la jasho.
Pepa ilikuwa tight? kuna Dogo wa GPA kubwa naona kachezea ndoige
noma sanaconnection/vyombo vya ulinzi ni balaa
Kwan wanatoa placements systematic.?Wamalize sasa placements za November na December tuanze za January
Sorry Kaka hizi ambazo hazijarudi naomba ufafanuzi kidogoBrother, Kukosa Kazi PSRS haimaanishi kwamba hauna content au wewe sio competent.
Wale jamaa wanamapungufu yao mengi tu..
Mie nilifanya Oral 3 moja nimeikosa (nahisi nipo Database) mbili hazijarudi.
Ila bahati nzuri nimepata kazi Int Org(__) recently. Hao PSRS wanazingua sana ktk sahili zao hata ujipangeje ni Mungu tu akunyooshee nothing about competence huko.
Placement hazijatoka. so sijui kama nimepata au la.Sorry Kaka hizi ambazo hazijarudi naomba ufafanuzi kidogo