Kwan na hiyo vyama vya shirika si huwa pia vina husika halmashauri!? Nayo labda ni LGAHii sasa ndo LGA sio?,naona tunaendelea kulambishwa asali watu wangu wa MDA LGA tunachomoka mdogo mdogoView attachment 2555700
Kwan na hiyo vyama vya shirika si huwa pia vina husika halmashauri!? Nayo labda ni LGAHii sasa ndo LGA sio?,naona tunaendelea kulambishwa asali watu wangu wa MDA LGA tunachomoka mdogo mdogoView attachment 2555700
Hyo COASCO???? Sina uhakika,basi me najua LGA ni halmashauri tuKwan na hiyo vyama vya shirika si huwa pia vina husika halmashauri!? Nayo labda ni LGA
faraja muhimu afsaMzee wa migration...
Upo sehemu salama kabisa mwaka huu wizara ya kilimo itachukua watu wa kutoshaaa,,
Yaan nchi inataka ilimee haswaa,
Hapo ulipo jipige kifua sema huu mwaka kopo la asali ntaingia
Dah, hizi mambo hiziMdh nasikia wamewapigia watu simu usahili ni tarehe 24/3 /2023
Sijui kama ni LGA lakini kwenye hivo vyama vya ushirika kuna asali moja nzito snaKwan na hiyo vyama vya shirika si huwa pia vina husika halmashauri!? Nayo labda ni LGA
Coasco ni wakaguzi wa vyama vya ushirika, wapo chini ya wizara ya kilimoHyo COASCO???? Sina uhakika,basi me najua LGA ni halmashauri tu
Haviusiki halmashauri hao wanakagua vyama vya ushirika, wanaokagua halmashaur ni National Audit. Hao wapo chini ya wizara ya kilimoKwan na hiyo vyama vya shirika si huwa pia vina husika halmashauri!? Nayo labda ni LGA
LGA ni halmashauri, ofisi ya mkuu wa mkoa na mkuu wa wilayaHyo COASCO???? Sina uhakika,basi me najua LGA ni halmashauri tu
Ooh asante boss,basi inaelekea asali yake si ya kitotoCoasco ni wakaguzi wa vyama vya ushirika, wapo chini ya wizara ya kilimo
Wanalamba asali kama NAOTOoh asante boss,basi inaelekea asali yake si ya kitoto
Badala ufikirie kupata kwanza placement unawaza asali ipi ni kubwaOoh asante boss,basi inaelekea asali yake si ya kitoto
PDF la database linatoka kidogo kidogo, kama hao waliopata coasco ni wale walifanyaga interview ya NAOT wakawa kwenye databasePDF la database 1767 limeyeyuka ebu tumpigie waziri atupe majibu
Wanalamba asali kama NAOT
DuuuhMkeka wa kufungulia sabato. View attachment 2555698
Naona ndo wanatoa mdgo mdgo mkuuPDF la database 1767 limeyeyuka ebu tumpigie waziri atupe majibu
Duh lini hiyo mbona wana mambo ya kishambaMdh nasikia wamewapigia watu simu usahili ni tarehe 24/3 /2023
Wife amepata kazi kwenye mkeka huu, bado mimi dahMkeka wa kufungulia sabato. View attachment 2555698
Mkuu kumbe ulipiga kilimo?nilipiga NIRC na wizara ya kilimo mkuu
Kaka mtumishi habari za Southern Highlands..