HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu kukosa kazi kusikufanye ushindwe kutumia akili reasonably. Wenzio wote wanafanya saili na wanapata wewe hauna content unakandwa kutwa kuwalalamikia PSRS.

Nashauri ujifue ujue vitu uwe competent uweze kushindana kwenye soko la ajira.
[emoji3][emoji3][emoji3]walokandwa saili za PSRS ni hamnazo???
 
Daaah...
Hapo nyuma kidogo kabla ya baadhi yetu kupungua kutoka ujobless kwenda kwenye mirija ya asali lugha ilkuwa moja
Sasa hv naona tunaparuana balaaa....
Kushajengeka dhana ya watoto wa maskini na matajiri...
Wenye kulamba asali na ambao bado hawajalamba asali.....
Mm nishasema hata nikilamba asali haitanifanya kunyamazia mapungu ya wazi kabisa yanayotokana PSRS na wote watoa mirija ya asali.....na sio vyema vijana kuendelea kunangana sisi kwa sisi badala ya kusimama kwa pamoja
Wanaoilalamikia UTUMISHI wasionekane wana nongwa kisa tu hawajatoboa.......mapungufu ya utumishi aiseeee yanastressisha basi tu ukishatoboa waweza waona wenzio kama wazembe na wasiojituma kabisa
Ni kweli , Mzee utumishi ni wazembe Alafu wafanyakazi ni pungufu. Lazima tuwaseme mpaka wakome.

ILa Post ya HAta mtu mmoja wahaiachi , wako radhi wakusanye watu 160 , kisa job post 1 TU Yan 😤
 
Nafasi za kazi kibao zipo serklin lakn psrs wanabana bana sjui hata kwa nn wanakua kama wauza nyama buchani hela wanataka na nyama wantamni kubaki nayo kukukatia mnofu anaona jau
Yan 😂 hizo post psrs , wanaziona kwao ni utajiri mkubwa sana
 
Mkuu kukosa kazi kusikufanye ushindwe kutumia akili reasonably. Wenzio wote wanafanya saili na wanapata wewe hauna content unakandwa kutwa kuwalalamikia PSRS.

Nashauri ujifue ujue vitu uwe competent uweze kushindana kwenye soko la ajira.
Kwani ww akili yako ndo inakuambia ajira ni lazima iwe serklini...wewe unanijua?kwamba sina kazi?acha ufala kijana
 
Mkuu kukosa kazi kusikufanye ushindwe kutumia akili reasonably. Wenzio wote wanafanya saili na wanapata wewe hauna content unakandwa kutwa kuwalalamikia PSRS.

Nashauri ujifue ujue vitu uwe competent uweze kushindana kwenye soko la ajira.
Wew kama umepata kazi tulia acha dharau za kifala fala...hili jukwaa huru kama unaona post zng znakukwaza pita ivi huna unaloninufaisha
 
Mkuu kukosa kazi kusikufanye ushindwe kutumia akili reasonably. Wenzio wote wanafanya saili na wanapata wewe hauna content unakandwa kutwa kuwalalamikia PSRS.

Nashauri ujifue ujue vitu uwe competent uweze kushindana kwenye soko la ajira.
PSRS ni mama yko mpka asillmikiwe?kama wana mapungufu wasisemwe nchi ya wote hii
 
Back
Top Bottom