Wenzangu na nani?kuna mtu nilikuja nae hapa kwenye jukwaa?unaongea kama vile unfikria kupitia tumboMkuu kukosa kazi kusikufanye ushindwe kutumia akili reasonably. Wenzio wote wanafanya saili na wanapata wewe hauna content unakandwa kutwa kuwalalamikia PSRS.
Nashauri ujifue ujue vitu uwe competent uweze kushindana kwenye soko la ajira.
Hahaha, hapa ngoja nijifue tu na nyimbo ya Kristo ya Ikumbuke Kote Sabato Ya Bwana.Leo hamna pdf tukafungue tu sabato
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi utafika umechoka sna sio kwa haya unayopitia
humu ni mbeba ndoo za korie mkuu8000 kwa siku alafu ya kuzungushwa, Kwani wewe binafsi una ujuzi gani mkuu?
nilipiga NIRC na wizara ya kilimo mkuuKaka unasubiri database ya usaili/Saili zipi?
Jah bless usDahhh!!
Mm ku scrow mpk nimechoka saa hizi na download PDF then naenda search na weka jina naweka herufi moja moja then result inasoma ila jinsj navyozidi kuandika jina mwshon inanambia result no found, kwa ujungu hapoo hapoo na futa na hiyo PDF then nashusha pumzi najifariji one day yes! Huu mwaka haotoisha bila kupata asali
Ni sual l muda mkuu mambo ytakua poa tu soon 👊humu ni mbeba ndoo za korie mkuu
tukija class mm nina bachelor ya uchumi
Amina,Kipindi cha Kwaresma na Ramadhan hiki,lazma baraka zimiminike. Wana JF wote asali zitatumininikia sana kipindi hiki[emoji120]
Usikate tamaa Mungu yu pamoja na wewe ....Ipo siku faraja/tumain litakuja kiongozi....usichoke kutafuta kiongozi usisikilize maneno ya watu yanayokatisha tamaa mshirikishe Mungu kwa kila jambo unalofanya...humu ni mbeba ndoo za korie mkuu
tukija class mm nina bachelor ya uchumi
yaah champUsikate tamaa Mungu yu pamoja na wewe ....Ipo siku faraja/tumain litakuja kiongozi....usichoke kutafuta kiongozi usisikilize maneno ya watu yanayokatisha tamaa mshirikishe Mungu kwa kila jambo unalofanya...
Mama(Rais) anamatumain sana na vijana katika utendaji kazi
Mimi nilishamshauliMkuu samahani lakini hebu jitahidi kuficha ujinga. Tangu lini PSRS akawa na jukumu la kutoa vibali vya ajira??? Aisee
Kajifunze kuandika vizuri alafu ndo uje utoe ushauriMimi nilishamshauli
NJAA YAKE ILIYOTUMBONI AIZUIE ISIJE FIKA KICHWANI
Ushauli ndio nini?au hujui kusoma na kuandika?Mimi nilishamshauli
NJAA YAKE ILIYOTUMBONI AIZUIE ISIJE FIKA KICHWANI
Kijana acha kuvamia mambo yasiyokuhusuMimi nilishamshauli
NJAA YAKE ILIYOTUMBONI AIZUIE ISIJE FIKA KICHWANI
Huyo ni mpuuzi sijawahi mquote hata siku 1 leo anakuja nyenyenyee hata kuandika kwenyewe kunampa shida ndio atoe ushauriKwa dalili ninazoziona hapa vijana wamaweza kwenda kumpiga mawe kitenge maana si makasirikiano haya😃😃😃