mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
ishu za pccb,jwtz,UT nk mkuu kaulizie kwenye ule uzi wa polisi upo active sana hapa hautopata updates za kutoshaHahaaa, we jamaa umenistua nikajua nd tyr niahapigw panga
ishu za pccb,jwtz,UT nk mkuu kaulizie kwenye ule uzi wa polisi upo active sana hapa hautopata updates za kutoshaHahaaa, we jamaa umenistua nikajua nd tyr niahapigw panga
Uzi wa polis haupo active u apa nd ambao upo active sana. Na istoshe u uz unaongelea kuchelew kuitw kwaio bad kun uhusianishu za pccb,jwtz,UT nk mkuu kaulizie kwenye ule uzi wa polisi upo active sana hapa hautopata updates za kutosha
hongera sana mzee baba ukawe mtumishi mwema
ila nina swali kwann wengi humu mnaolamba asali mnatumia akaunti mpya kuja kutoa ushuhuda??? hamtumii akaunti zenu tunazokandana kwenye hii thread
Duh ! Is this a joke ? , Hahaaaaa ,hii nchi hiiNasikia dar kuna vituo vya tuition kabisa juu ya usaili psrs unakumbushia ya chuo? Kuna mwamba nilimsikia akionge,yeye alienda kupiga usaili wa tra akakutana na watu wanaulizana vituo wanavyosoma tuition😂 watu wana hasira na asali mzee
kumbuka pccb sahili zao hazipiti utumishi mkuu.but uko sahihi kwa maoni yakoUzi wa polis haupo active u apa nd ambao upo active sana. Na istoshe u uz unaongelea kuchelew kuitw kwaio bad kun uhusian
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia dar kuna vituo vya tuition kabisa juu ya usaili psrs unakumbushia ya chuo? Kuna mwamba nilimsikia akionge,yeye alienda kupiga usaili wa tra akakutana na watu wanaulizana vituo wanavyosoma tuition[emoji23] watu wana hasira na asali mzee
VETA na Posta sio part ya MDA?
Sina hakika mkuu ila VETA (VOCATIONAL EDUCATION AND TRAINING AUTHORITY ) ni Mamlaka iliyo chini ya wizara ya elimu,kama ni part ya MDA sawa mkuuVETA na Posta sio part ya MDA?
mbona hamna .....Wakuu ingieni Ajiraportal kuna nafasi kibao za TRC (Tanzania Railways Corporation ) zimewekwa kule
zipoombona hamna .....
ulitaka uone neno agency kumbe? sawaSina hakika mkuu ila VETA (VOCATIONAL EDUCATION AND TRAINING AUTHORITY ) ni Mamlaka iliyo chini ya wizara ya elimu,kama ni part ya MDA sawa mkuu
Nakubaliana na wewe kabisa [emoji817]Second selection haina maana kwamba ulipata marks mbovu mkuu unaweza ukawa ulipata marks nzr ila ulizidiwa let say moja au mbili na mpinzani wako huezi sema mtu aliepta oral 85 kwmba ana marks mbovu
Duuuu, aiseee mbona hatari sana.Sisi tunapenda haraka, ila tufahamu kuna taratibu za kiofisi. mfano zile za mwaka jana walikuja kugundua kuna watu walitumia vyeti feki na nadhani walikuja kugundua wakiwa katika mafunzo. sidhani kama wataruhusu hali hiyo itokee tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aiseee hii nchi imefunikwa na blanket nzito sanaa. Sijaamini bado kama kuna hiyo tuition.Nasikia dar kuna vituo vya tuition kabisa juu ya usaili psrs unakumbushia ya chuo? Kuna mwamba nilimsikia akionge,yeye alienda kupiga usaili wa tra akakutana na watu wanaulizana vituo wanavyosoma tuition[emoji23] watu wana hasira na asali mzee
oky
We dhania utani sasa , hili ni bomu na limeshalipuka ,ila kwa vile wabongo wengi ni akili fupi ,kutokuona mbali na ubinafsi ,hili janga ni disaster ,hata kama umepata kimrija cha asali ,utazaa mtoto ata end kuwa jobless street ,it's when utajua how deadly awful and serious this shit is , endelea kuandika ujinga tu .Povu lote hili ni kwasababu ya "UJOBLESS"
Kunywa maji mengi, jiandae vya kutosha na endelea kupiga usahili, mda wako ukifika utatoboa, bi mkubwa anamwaga ajira sana siku hizi.
Daaah...We dhania utani sasa , hili ni bomu na limeshalipuka ,ila kwa vile wabongo wengi ni akili fupi ,kutokuona mbali na ubinafsi ,hili janga ni disaster ,hata kama umepata kimoja cha asali ,utazaa mtoto ata end kuwa jobless street ,it's when utajua how deadly awful and painful this shit is , endelea kuandika ujinga tu .
😂😂😂😂 ata mm nilishangaa sana,ila naamini umu ndani kuna wadau ambao ni wateja wa hizo tuition centers[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aiseee hii nchi imefunikwa na blanket nzito sanaa. Sijaamini bado kama kuna hiyo tuition.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiria utaitwaIla hiyo si sabab ya kuchelew. Sasa km mwaka jana walitumia mda mwing hivo na bado wakakutana na hayo kwaio mara i watumie miez miwili sasa auvp?