Watu wanakula placement bwana[emoji91][emoji91]
View attachment 2551167
Hongereni sana wakuu kwa kupata nafasi katika utumishi wa umma. Aidha kama mnavyojua, kuajiriwa ni bahati so mlifanya vizuri lakini Mungu ameamua this time iwe zamu yenu.
Kafanyeni kazi zenu kwa weledi na haki, epukeni rushwa, msinyanyue mabega yenu kwa kuvimba na mjue pia hizi kazi ni za muda, leo upo kesho haupo so jitahidini kujiandaa na maisha baada ya utumishi.
Kuna nafasi za kazi kwenye sehemu mbali mbali hua zinatokea kwenye mashirika makubwa Africa na duniani, EAC, SADC, AU, UN na mashirika yake etc. Kazi hizi huwa zina mamishahara makubwa up to 100k USD per annum.
Ukiweza, omba hizi uchukue likizo bila malipo ukapamanie kombe for few years.
Adios muchachos