HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna kila dalili ka mkeka kangu ka November kamefutwa..yani wanaita mbele Mar warudi nyuma lkn kataasisi kangu hakaitwi hata.

mazaga one mzee baba ebu tupe update ya zilizobaki 28 November to December.

Kweli wa masikini hazai.alafu hii asali ninile ya wadudu wadogo naskia ni tamu.
MUDA WA MUNGU NDIO MUDA SAHIHI.

Kikubwa subra na kumuomba yeye
 
Database naona wanatoa mdogo mdgo kuna mtu tulifnya nae interview mwaka jana mwezi wa tisa akapita oral lakini hakupta placement lakin leo kapata taasisi x sehemu ambayo hakuomba na hawakuita interview kwenye iyo position it's better tukaendlea kuwa watulivu PSRS Wafanyekazi yao japo wapo slow na mpungufu hayakosi,,ila kuna familia leo zimepta asali ni jambo lakushukuru Mungu
Na huo ndio ukweli watu wanachukuliwa kidogo kidogo from database kulingana na matakwa ya muajiri.
Hii dhana ya watu waliyoijenga kichwani baadhi ya jobless wenzangu kusubilia mkeka wa mhagama watakuja kushtuka hao watu 1700+ washaisha kitambo kwenye hivi hivi viPDF vidogo vidogo
 
Msichofahamu ni kwamba MDA & LGA washaanza kutoa placement taratibu, ndio hizo nafasi mnazoana watu wanapata. Kama baadhi waliofanya usaili November washaanza kupangiwa vituo. So zingine sio database ni zile za MDA & LGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kweli kabisa, wale 20 waliopangiwa VETA kwa post ya Accountant II wote ni zile nafasi za MDAs na LGAs walifanya interview November 2022 so hao sio data base. Wameanza kuwachukua wachache wachache
 
Huo mkeka uko wapi
 
Yah ni hvyo wanazitoa taratibu za MDA & LGA, So sio wote wanaokua kwenye mkeka ni database.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom