zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 780
- 1,532
Oky......hapo waliobakia ni taasisi gan kabla ya Tangazo la mh.MWAUWASA walifanya usahili November
Oky......hapo waliobakia ni taasisi gan kabla ya Tangazo la mh.MWAUWASA walifanya usahili November
Mie Leo nimelamba asali ashukuriwe Mungu,,,Kwan leo katika placement iliyotoka hakuna aliyepata asali? Aje atupe ushuhuda tumpongeze kama wengine waliopita
SijasikiaWaliofanya interview ya Takukuru vipi wameshaita oral?
Hili linawezkn maana database most of them wana marks chacheUtafiti niliofanya zile Taasisi zenye mishahara mikubwa Sana huwa hawachukui kutoka database, refer ajira za eGA
Mkuu huenda wewe ndo njaa zko zimehamia kichwani...mambo yapo wazi unapinga nini sasa?lete hoja za msingiUnasema database kuna watu we uliwaona ?
Na kama wapo unauhakika gani kama wanaendana na matakwa ya muajiri.
Tusijifiche kwenye kichaka cha database ilihali hatujui kama tumo au laa, kikubwa tujipange kwa sahili zijazo.
NJAA ZETU ZILIZOTUMBONI TUZICONTROL ZISIJE ZIKAHAMIA KICHWANI.
Kwaio kama kuwa database ni miezi12, baada ya miaka miwili hakutakuwa na database au ww ndo hautokuwa kwenye database😂Maelezo aliyokupa ni uongo kwasababu kuwa database ni miezi 12 baada ya placement. Sasa wewe unasema hata baada ya miaka miwili!
Kwa kifupi hawataki BEST LOSERSUtafiti niliofanya zile Taasisi zenye mishahara mikubwa Sana huwa hawachukui kutoka database, refer ajira za eGA
Kapitie kanuni zao za miongozo ya usail ..alafu ndo uje kwenye jukwaaa.....watu wamestruggle oral zaidi ya mbili alafu unaongea sentence hizoUnasema database kuna watu we uliwaona ?
Na kama wapo unauhakika gani kama wanaendana na matakwa ya muajiri.
Tusijifiche kwenye kichaka cha database ilihali hatujui kama tumo au laa, kikubwa tujipange kwa sahili zijazo.
NJAA ZETU ZILIZOTUMBONI TUZICONTROL ZISIJE ZIKAHAMIA KICHWANI.
Ni sahihi, Ben Mkapa Hospital hawakuwahi kutangaza nafasi hiyo.Me nilipiga ICT ye alifanya pharmacy counsil hakupata kapelekwa Benjamini mkapa hospital
nikuulize kitu
Sas mbona wauliza na wajijibu mwemyewe mkuu...vp upo vzr kkKwaio kama kuwa database ni miezi12, baada ya miaka miwili hakutakuwa na database au ww ndo hautokuwa kwenye database😂
Hoja ya msingi ni kwamba, kitu kinachoitwa PDF ya database haipo.Mkuu huenda wewe ndo njaa zko zimehamia kichwani...mambo yapo wazi unapinga nini sasa?lete hoja za msingi
Ok ulitakiwa unyooshe maelezo ili tukuelweHoja ya msingi ni kwamba, kitu kinachoitwa PDF ya database haipo.
Wataendelea kuchukuliwa watu kidogo kidogo kwa hivyo hivyo viPDF vya KB mnavyovidharau kutoka database kulingana na uhitaji wa muajiri.
Kila la kheri mkuu nenda kapige kaziDatabase inatema cheche mm mwenyewe ni mmoja wapo niliopataga via data base na nimeona watu wengine leo nao wajua nilifanya nao wamekula asali ya database, haya mambo ni suala la muda tu safi sana.
Bwashee this time around eGa fanya kweli mkuuOk ulitakiwa unyooshe maelezo ili tukuelwe