HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna neno mwisho naona halionekani hapo ninalikazia Mh.JENISTA MHAGAMA alisema ni budget ya nyuma inamaana 2021/2022....Ni swala la kuachia Pdf la watu hao 1700+...Ninawasilisha
Asa najiuliza kwanini utumishi wasitoe maelezo na ufafanuzi kupunguza stress kwa vijana sababu waziri ameshasema na ndio boss wao inawashinda nn kutoka public na kutoa maelezo maana mwezi wa pili umepita.

Au tumfate mama yetu IG and twitter tukawasemee maana mama anatusaidia vijana lakini wao wanatuchelewesha.
 
Asa najiuliza kwanini utumishi wasitoe maelezo na ufafanuzi kupunguza stress kwa vijana sababu waziri ameshasema na ndio boss wao inawashinda nn kutoka public na kutoa maelezo maana mwezi wa pili umepita.
Au tumfate mama yetu IG and twitter tukawasemee maana mama anatusaidia vijana lakini wao wanatuchelewesha
Mnataka msage kunguni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kweli lazima tuchanganyikiwe kumbe hata October bado hawajaisha!!!![emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ushangae halaf uwe unajipa matumaini ya database[emoji3][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
Wenzako walofaulu usaili wa moja kwa moja hadi wa Oct wapo.....
Mwenzangu na mm unaesubiri PDF la kanzidata si ndo upaukiane jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu kwa ninavyoelewa database ni wale waliofaulu ila kutokana na ufinyu wa nafasi wkakosa kupangiwa vituo vya kazi....sasa ukiangalia mfano hao wanasheria wa NPS mkeka wao ulishatoka na nafikiri idadi ya post iliyotangazwa ilishatimia so hawa waliotoka jana ni kutoka database
 
mkuu mbona kawaida tu umewahi omba kazi kwenye hizi UN AGENCIES call for interview pekee smtimes inachukua miez 6. kikubwa PSRS tuwaombe wawe wawazi hasa oral results, placement na waliopo database
Duuuu, hao sijawahi omba aisee kwanza si ndo huwa wanazingatia sana experience! Wengine huku experience ni za kuchechemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
Mkuu kwa ninavyoelewa database ni wale waliofaulu ila kutokana na ufinyu wa nafasi wkakosa kupangiwa vituo vya kazi....sasa ukiangalia mfano hao wanasheria wa NPS mkeka wao ulishatoka na nafikiri idadi ya post iliyotangazwa ilishatimia so hawa waliotoka jana ni kutoka database
Kabisa
 
Vijana tulieni tatizo la Ajira ni kubwa sana hasa ukizingatia awamu ya 5 watu hawajaajiriwa. Mama ameonyesha matumaini vijana wengi wamepata ajira na wengine wamehifadhiwa kwenye kanzi data wakiendelea kuitwa taratibu.

Kuweni na subira tatizo haliwezi kuondoka kwa 100% lakini linaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa. Punguzeni ukubwa wa matarajio lolote linaweza kutokea Plan B ni muhimu.
 
Back
Top Bottom