HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
mta itaja PSRS mtamalizia Mzumbe , narudi pale pale tanzania kama haupo kwenye mfumo lazima uchapike na maisha mpaka udate, ukiwa kwenye system haya mambo na controversial zote zinazojiri sasa utaona sawa tuu. wazee tuzidishe juhudi ,maombi na njia zozote kupata kazi otherwise tutaishia kulaumiana hapa jukwaani
umenikumbusha kwenye usaili (private) tulikuwa wengi kidogo, nikakata tamaa tulipoingia tu wale panel (interviewers) wanaongea na baadhi ya interviewees kama washkaji yani (wanajuana) na the next thing we know wale ndio waliopita.
kuwepo kwenye system ni muhimu.
 
Hivi usichoelewa nini mkuu? Tangazo limeandikwa na kutolewa na Chuo, PSRS wakasubiri kuletewa nakala ili na wao waitangaze, sasa kama wameletewa leo ulitaka walitangaze tarehe 10?

Uliona tangazo gani likatolewa na PSRS tofauti na tarehe lililoandikwa na wao PSRS? Kama lipo liweke hapa uniprove wrong.

Hivi hujaona matangazo ya Halmshauri nyingi yanatangazwa PSRS yakiwa yamechelewa kulingana na tarehe yaliyoandikwa? Mbona sijaona ukosoe kuhusu haya matangazo?
Wewe una uhakika gn kama wameletewa leo hilo tangazo?
 
umenikumbusha kwenye usaili (private) tulikuwa wengi kidogo, nikakata tamaa tulipoingia tu wale panel (interviewers) wanaongea na baadhi ya interviewees kama washkaji yani (wanajuana) na the next thing we know wale ndio waliopita.
kuwepo kwenye system ni muhimu.
ndio hvo mkuu
 
Kwenye issue ya kuchelewesha matokeo ya oral na placements psrs naamini haihusiki. Mfano kwenye matokeo ya Written mbona wanatoa matokeo ndani ya siku 1-5.

Hapo kwenye kuchelewa placement kuna wa kulaumiwa ila sio psrs. Bajeti, bajeti, bajeti, bajeti
 
Yameshaanza kutoa faraja, tangazo la kuita watu kwa usaili linaandaliwa tarehe 10-03-2023, kwa usaili wa tarehe 16&17 mwezi huu wa tatu, psrs wamepost leo, tarehe 15-03-2023. Candidate lazima ufurahi
hiii sio sawa kabisa PSRS wamepuyanga hapo
 
Kwahiyo nisitoe maoni kisa nishapata nafasi mkuu?

Nawaombea mpate nafasi ili tuje tuungane kwenye ubalozi wa PSRS
Mkuu vijana wamekuwa na kisukari wanatema sana nyongo ile mbaya shukrani sana kuendelea kuwepo hapa kwenye huu uzi naamini vijana wenzangu tukipata uzi tutarudi kupongezana hapa.
 
Kwahiyo nisitoe maoni kisa nishapata nafasi mkuu?

Nawaombea mpate nafasi ili tuje tuungane kwenye ubalozi wa PSRS
Ushaanza kuharibu Sasa mkuu
Kosa ni la pssrs hapo, wangelikataa tangazo hilo ili liwe re advertised
 
Wakuu nimeona mnalalamikia tangazo la kuitwa kwenye mkando Mzumbe lililowekwa leo kwenye website ya PSRS.

Naomba niwaambie hii sio mara ya kwanza kitu kama hiki kutokea kwa Chuo cha Mzumbe, kilitokea na Mwaka jana, watu walilalamika hivi hivi.

Ukiangaliwa hilo tangazo limeandikwa na Chuo cha Mzumbe na likatolewa na Makamu Mkuu wa Chuo na sio Katibu wa PSRS. Tukumbuke pia hizi Mamlaka za Vyuo vikuu wanaendesha sahili zao chini ya Usimamizi wa PSRS.

Kosa ninaloliona kwenye kuchelewa kutangazwa kwenye website ya PSRS ni uzembe/kosa la Chuo kutotuma tangazo mapema PSRS ili litangazwe, wao chuo huwa wanatangaza kwenye website yao ila wanasahau kulituma mapema PSRS na likatangazwe kule.

Pia MUCE mwaka jana walifanya uhuni kama huu wa kuchelewa kutoa placement badala yake watu walipigiwa simu wakaenda kuanza kazi kimya kimya halafu baadae ndio wakaja kutuma placement PSRS ili ikatangazwe. Muhanga wa hii kitu ya MUCE alikuwa ni Ahmet , alifanya oral akawa anasubiri placement kumbe wenzio washaitwa kazini kimya kimya, placement ilipotoka na akawa hayumo ndipo akaja kujua kumbe watu waliitwa zamani kwa simu.

Hizi ndio taasisi zinazopigiwa chapuo na baadhi yetu humu ili zipewe mamlaka ya kurecruit na huu ndio uhuni wao wanaoufanya ingawa sio zote.

Nashauri endapo ukipata received ya Taasisi ya Chuo jitahidi kutembelea website zao mbali na website ya PSRS ili endapo wakichelewa kuleta tangazo PSRS ilihali tayari washalitangaza kwenye website yao uweze kuliona.
hadi nmekasrika sana kwa huyo mhanga aliepiga oral af akaletewa mauza uza

PSRS wawe wakali kwenye haya masuala wao si ndio wanaotoa kibali cha utumishi au mm ndo sielewi vizuri hapo?
 
Hata kwenye website ya Mzumbe hakuna hilo tangazo.
basi PSRS mdo awajibike kwenye hili suala wamepuyanga sana hapo

yaan usail kesho af unaita mtu leo aende dodoma

af hii tabia wanayo hata kwenye matokeo ya written

unakuta watu wamefanya written zinapita siku hata nne wanatoa matokeo ya written leo af usiku wa manane usail wa oral ni kesho
 
Ushaanza kuharibu Sasa mkuu
Kosa ni la pssrs hapo, wangelikataa tangazo hilo ili liwe re advertised
Hakuna namna ya kuwavua psrs kwamba hawahusiki na lawama kama hizo....ilihali website yao imetumika kutangza kz na kuita watu saili....ni UZEMBE kuita msailiwa leo kesho afike eneo la tukio
 
Kwenye issue ya kuchelewesha matokeo ya oral na placements psrs naamini haihusiki. Mfano kwenye matokeo ya Written mbona wanatoa matokeo ndani ya siku 1-5
Hapo kwenye kuchelewa placement kuna wa kulaumiwa ila sio psrs. Bajeti, bajeti, bajeti, bajeti

Wanavyotuambia kuwa ni bajeti ya mwakajana wanamaanisha nini?? Wanatulisha matangopori ausio.
 
Back
Top Bottom