Mwamba95
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 148
- 382
Alooo😂😂😂😂Kazi ya uendesha mashtaka tofauti yake na walimu ni ndogo sana
Alooo😂😂😂😂Kazi ya uendesha mashtaka tofauti yake na walimu ni ndogo sana
👆👆👆Unajuaje Sina kazi?
Kazi ni mbaya ukiwa nayo ila ukiikosa utaitamani...Kazi ya uendesha mashtaka tofauti yake na walimu ni ndogo sana
😂😂😂😂 dahKazi ya uendesha mashtaka tofauti yake na walimu ni ndogo sana
Ulitoboa mkuu??Mkuu taasisi kuajiri wenyewe ni shida.
2015 niliomba kazi taasisi X, majina yalipotoka sipo. Nikampigia simu kaka yangu aliyeniambia niombe ile nafasi. Akaniamba ngoja amcheki Classmate wà ke anaefanya kazi kwenye ile taasisi X makao makuu. Baada ya muda akanipigia akaniambia siku ya interview nibebe vyeti niende hata kama jina halipo. Nilipoenda Siku ya interview nakuta jina langu la mwisho limeandikwa kwa pen majina mengine yote yako typed. Nikaingia nikapiga paper.
Eti aliyeamua ni mungu wakati waliotoa TU PDF ni wala posho, Acheni kutumia Imani za kijinga kuficha maovu yenuWatu wanakula placement bwana[emoji91][emoji91]View attachment 2551167
Hongereni sana wakuu kwa kupata nafasi katika utumishi wa umma. Aidha kama mnavyojua, kuajiriwa ni bahati so mlifanya vizuri lakini Mungu ameamua this time iwe zamu yenu.
Kafanyeni kazi zenu kwa weledi na haki, epukeni rushwa, msinyanyue mabega yenu kwa kuvimba na mjue pia hizi kazi ni za muda, leo upo kesho haupo so jitahidini kujiandaa na maisha baada ya utumishi.
Kuna nafasi za kazi kwenye sehemu mbali mbali hua zinatokea kwenye mashirika makubwa Africa na duniani, EAC, SADC, AU, UN na mashirika yake etc. Kazi hizi huwa zina mamishahara makubwa up to 100k USD per annum.
Ukiweza, omba hizi uchukue likizo bila malipo ukapamanie kombe for few years.
Adios muchachos
Database Gani unayo izungumzia?Orodha hii pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa database...
Eti aliyeamua ni mungu wakati waliotoa TU PDF ni wala posho, Acheni kutumia Imani za kijinga kuficha maovu yenu
hiyo hiyo inapunguzwaDatabase Gani unayo izungumzia?
Hivi hawa waliotwa Jeshi la polisi walikuwa wamefanya interview au ni database..?