HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Matokeo ni baada ya wiki 3.
Hii kauli wasiiseme
Sasa ni matokeo gani ilihali anaejua amefaulu ni yule ataketokea kwenye mkeka wa kuitwa kazini...hao wengine ni fumbo hawaelwi walifeli wa walifaulu
 
Waweke wazi hamna sbb ya msingi kuficha tokeo la oral...as long wameweka itrtbu wa kanzi data ss ubaya uko wp kumjulisha muombaj w kaz kwamba amefaulu au amefeli?
Mimi nikijulishwa nimefaulu nipo database baada ya wiki nitaanza kusumbua mbona sipangiwi kazi akati nimefaulu.
 
Watu wanakula placement bwana[emoji91][emoji91]
IMG_5188.jpg

Hongereni sana wakuu kwa kupata nafasi katika utumishi wa umma. Aidha kama mnavyojua, kuajiriwa ni bahati so mlifanya vizuri lakini Mungu ameamua this time iwe zamu yenu.

Kafanyeni kazi zenu kwa weledi na haki, epukeni rushwa, msinyanyue mabega yenu kwa kuvimba na mjue pia hizi kazi ni za muda, leo upo kesho haupo so jitahidini kujiandaa na maisha baada ya utumishi.

Kuna nafasi za kazi kwenye sehemu mbali mbali hua zinatokea kwenye mashirika makubwa Africa na duniani, EAC, SADC, AU, UN na mashirika yake etc. Kazi hizi huwa zina mamishahara makubwa up to 100k USD per annum.

Ukiweza, omba hizi uchukue likizo bila malipo ukapamanie kombe for few years.

Adios muchachos
 
Hii nchi ina upuuzi mwingi sanaa, haipendezi utangaze nafasi za kazi kuanzia mchakato mpaka watakaopatikana kazini ichukue zaidi ya miezi minne. Ni uduwanzi mkubwa sanaa, watu wanafanya tuu makusudi, sitaki kuamini kwamba kuna issues special kiasi hicho cha kuwasubirisha watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mbona kawaida tu umewahi omba kazi kwenye hizi UN AGENCIES call for interview pekee smtimes inachukua miez 6. kikubwa PSRS tuwaombe wawe wawazi hasa oral results, placement na waliopo database
 
Nishautuma hapo juuu...
Wameandika taasisi mbalimbali za umma

Watu wa tangu Oct. 2022.....🫠🫠
yaani hawa jamaa psrs kuna vijielement wanavyo inadhihirisha 100% wanakusudia kuwaumiza na kuwastress majobless kwa mfano huu mtindo wanaandika taasisi mbalimbali alafu ndani taasis mbili mfano kamkeka ka leo na kale ka watu wa PSRS.

Usishangae week ndo inakata kwa kamkeka hako.
 
Watu wanakula placement bwana[emoji91][emoji91]View attachment 2551167

Hongereni sana wakuu kwa kupata nafasi katika utumishi wa umma. Aidha kama mnavyojua, kuajiriwa ni bahati so mlifanya vizuri lakini Mungu ameamua this time iwe zamu yenu.

Kafanyeni kazi zenu kwa weledi na haki, epukeni rushwa, msinyanyue mabega yenu kwa kuvimba na mjue pia hizi kazi ni za muda, leo upo kesho haupo so jitahidini kujiandaa na maisha baada ya utumishi.

Kuna nafasi za kazi kwenye sehemu mbali mbali hua zinatokea kwenye mashirika makubwa Africa na duniani, EAC, SADC, AU, UN na mashirika yake etc. Kazi hizi huwa zina mamishahara makubwa up to 100k USD per annum.

Ukiweza, omba hizi uchukue likizo bila malipo ukapamanie kombe for few years.

Adios muchachos
Kazi ya uendesha mashtaka tofauti yake na walimu ni ndogo sana
 
Back
Top Bottom