HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vijana tulieni tatizo la Ajira ni kubwa sana hasa ukizingatia awamu ya 5 watu hawajaajiriwa. Mama ameonyesha matumaini vijana wengi wamepata ajira na wengine wamehifadhiwa kwenye kanzi data wakiendelea kuitwa taratibu. Kuweni na subira tatizo haliwezi kuondoka kwa 100% lakini linaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa. Punguzeni ukubwa wa matarajio lolote linaweza kutokea Plan B ni muhimu.
Kitaa sio Poa......Wao wamwage mkeka 1700+ hata kama kuingia ni mwenzi wa saba haina shida kuliko kuishi bila matumain!!!!
 
Hii sio, na wala sio utaratibu unaofaa kumpangia post ambayo mtu hakuiyomba,

Patatokea malalamiko makubwa watu kupangiwa post ambayo HAta hakuiyomba,

HAta kama ni shida ya ajira ndio uka mtupe mtu kwenye Kazi ambayo hakuitarajia.

Psrs mnatengeneza matatizo badala ya kupunguza yaliyopo
Nahisi ikitokea mtu anapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi yeye atakuwa ni mfanyakazi wa kawaida tuu. Hatochukuliwa kama askari, labda itokee sasa yeye mwenyewe apende kuingia humo na akakidhi vigezo stahiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upo against sana sana, na isingekuwepo database ungesema pia hebu shukuru kwa yote na database unapangiwa kada yako labda taasisi tu tofauti, na hiyo imesaidia wengi kupunguza gharama baada ya kupata, usiwe na makasiriko kiasi hiko uko against sana una jambo lako wewe sio bure.

Subiri placement tu km ulifanya oral wakati wako ukifika utapata usiwe mbinafsi sana. Unachoona hakikusaidii wewe, wapo wengine wanashukuru kimewasaidia hujioni ni wewe tu, ...
Ni kweli aisee, gharama za kwenda kufanya kuusaili ni kubwa sana+muda unaoutumia kujianda, mpaka unakuja kusubiri ni mwingi mno. Kikubwa pdf tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
isije ikawa wamevuta watu kutoka ofisi za TISS ndio wamewekwa hapo we unajifariji ni data base[emoji3][emoji3][emoji3]

mana najiuliza raia wa kawaida akafanye kazi jeshi la polisi halafu sio polisi????

si ndo mwanzo wa uvujishwaji wa siri za jeshi la polisi huo utakuwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

nimewaza tu lkn wazee
Sina hakika na hilo, japo naamini vyovyote inawezekana. Na pia tukumbuke watumishi wote serikalini wanapaswa kutunza siri, ni vitu vinawezekana kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu kama hyo.. kama hii ya Bunge japo wame-command utumie address ya Bunge Ila mfumo wa kutuma Maombi ni AjiraPortal. So PSRS ndo wahusika wa uchambuaji wa Maombi yote then watawatumia Taasisi husika
Hii issue ya Address naomba iwe inazingatiwa mimi ni mmoja wa muhanga wa hili, kama umeambia adreess ipitie taasisi husika fanya hivyo, Kuna post ya UDOM sikuwa shortlisted kwa kutotumia address ya taasisi husika, kuhusu uchambuzi PSRS ndo wanafanya uchambuzi wote kama kawaida.
 
Back
Top Bottom