Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,839
- 10,954
Psrs hawaeshimu kauli ya waziri wao daa,Mbona kama unabadili Kauli ya Mh.Jenista Mhagama-Hajazungumza "Kama"...Nafasi imepatika
Note[emoji116]View attachment 2551738
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Futa hiyo sentence utafanya Mh.Mhagama apangiwe majukumu mengine maana Mama(rais) hapendi kusikia vijana wake wanateseka wakati kawapa vibari vya kuajiri
Tuzidi kuomba mbele za Mungu kauli zao ziwe hasilia....
Psrs nilisema inahujumu juhudi Raisi Samia, Ss Naona mnaamza kuelewa kidogo kidogo