HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna kitu nime-notice kwa ajira hiz zinazotoka sasa, ni kwamba maombi yanaandikwa kwa adress ya taasisi husika, na sio kwa katibu mkuu psrs tena.

Maana yake inawezanikawa kwamba, taasisi husika sasa wanatupiwa mpira wa kuchambua maombi na kufanya shortlist wenyewe, naona kiaina psrs wameshaanza kupunguza majukumu. Ni hatua nzuri.
 
Kwa hiyo PDF la database 1767 halipo tena ni huzuni kwa kweli kwa vipdf hivi unafikiri Kuna cha kanzidata tena
 
Kuna kitu nime-notice kwa ajira hiz zinazotoka sasa, ni kwamba maombi yanaandikwa kwa adress ya taasisi husika, na sio kwa katibu mkuu psrs tena. Maana yake inawezanikawa kwamba, taasisi husika sasa wanatupiwa mpira wa kuchambua maombi na kufanya shortlist wenyewe, naona kiaina psrs wameshaanza kupunguza majukumu. Ni hatua nzuri.
Hamna kitu kama hyo.. kama hii ya Bunge japo wame-command utumie address ya Bunge Ila mfumo wa kutuma Maombi ni AjiraPortal. So PSRS ndo wahusika wa uchambuaji wa Maombi yote then watawatumia Taasisi husika
 
Ss hiyo story listed wanatumia vigezo vp Mzee, kumbuka psrs Kila kitu eti ni Siri 😂
 
Ninaongea hii kwa proof mzee, kazi za bunge awamu iliyopita tuliomba kwa ku-channel maombi kwa katibu psrs, maana yake katibu psrs na office yake ndio walikua responsible katika kuchakata haya majina.
 
Ss hiyo story listed wanatumia vigezo vp Mzee, kumbuka psrs Kila kitu eti ni Siri 😂
Hilo ni swala lao sasa kati ya psrs na office ya bunge. Sio kila kitu cha kuanikwa, haipo hiyo duniani popote pale.
 
Namna hiyo na wengine ikibidi watupwe JWTZ wakafundishwe kufunga mdomo [emoji23][emoji23][emoji23] angalizo ikitokea post kama hiyo mtakuwa hamjamkomoa Mkuu mfwende sawadogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sio, na wala sio utaratibu unaofaa kumpangia post ambayo mtu hakuiyomba,

Patatokea malalamiko makubwa watu kupangiwa post ambayo HAta hakuiyomba,

HAta kama ni shida ya ajira ndio uka mtupe mtu kwenye Kazi ambayo hakuitarajia.

Psrs mnatengeneza matatizo badala ya kupunguza yaliyopo
 
Lipi lililo bora kwako waliopangiwa washafurahi kama ni hasira basi unachukua shuka unajifunika gubigubi then fart inside it [emoji1787] (joking)
 
Back
Top Bottom