HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndugu Zangu nawashukuru sana,tuendelee kupambana,nami ni mojawapo niliyepata placement Jana.Sio Kwa uwezo wangu ila najua ni Kwa uweza wa Mungu pekee.
Tusikate tamaa,mapambano yaendelee.
Napenda kuwatakia kazi njema watumishi wote wa
Sekretarieti ya Ajira.Hili ndio kimbilio letu wasaka Ajira wote.Sina connection nilipambana baada ya kufeli saili kadhaa bila kwenda Oral.Ila sikuchoka niliamini kama ipo na ipo.Hatimaye siku imefika.
Wale wote mnaosubiri placements pia msikate tamaa,Kikubwa ni kuombea mchakato wako kila siku,Mungu ni mwema sana.

#Tusikate Tamaa.
#Kazi Iendelee
Hongera sana kaka na karibu sana mkuu utumishi wa umma,
 
Hongera sana brother hizi habari ni njema mnatufanya tuamini psrs ni real ndo kimbilio letu tusiokua na connection.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana brother hizi habari ni njema mnatufanya tuamini psrs ni real ndo kimbilio letu tusiokua na connection.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hili ndiyo kimbilio letu la vizazi na vizazi,hata Mimi Nina wadogo zangu na marafiki,na ndugu zangu wote nitakuwa nawasihi wasome tu na kujiandaa vizuri Kwa ajili ya Usaili,Huku wakimtanguliza Mungu,Hakika hakuna lisilowezekana penye Nia,Mungu ni mwema sana...
Sekretarieti ya Ajira chapeni kazi,uzuri nyie Mpo wazi na kanuni zipo wazi.Tunasema kazi Iendelee.

Tunashukuru Rais Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Kwa kuendelea kumwaga Ajira na vijana wengi baada ya kusota muda mrefu Mtaani na Sasa tunafanikiwa kuingia kwenye Utumishi wa Umma.Mungu amlinde Rais wetu na vijana sisi tutakuwa mstari wa mbele kushuhudia Makubwa ya Mama........

Kingine vijana Tusikatishane Tamaa Wala kusikiliza lolote Baya Kwa mtu la kukukatisha Tamaa,Tuombe kazi Tumuombee Mungu,na Tujiandae.Mungu hubariki Juhudi za kila Mmoja wetu.
Leo Kwangu Kesho kwako na kwa mwingine Pia.

Nawapenda sana Ndugu Zangu! Nipo na tutaendelea kuwa pamoja.
 
Sasa unatupa wakati mgumu mkuu hadi mood ya pongezi inaanza kuvepa. Kumbuka jambo la moto moto ndio huwa tamu sana.

Hongera sana na kila la kheri kwenye mrija wa Asali, ukawe mtumishi mwema!
Nilikuwa na Furaha sana Jana,nikawa Sina Cha kuandika kabisa.
Kuna muda yesamrich alisema nikumbushe Taasisi Fulani,nikawa nipo mahali siwezi sema chochote.Ki ukweli Jana Usiku sijalala kabisa.Mungu ni mwema sana kaka
 
Lazima ufurahi mkuu hasa jinsi ulivyokandwa mara kadhaa.

Sasa ukifika Masjala ya Nje unajiona ni mwenye kujiamini sana na wala sio kwa woga ule wa kwenda kukandwa[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom