HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Guys nimepata Kazi...mimi Ndio muanzilishi wa huu Uzi sema Account ilipigwa BAN.
Ila tuendeleee kupambana.

Nimepata kaz bila connection.
Japo nilikandwa Taasisi kama 5 uko Nyuma.
Sikutegemeea kupata kazi.

Ila tupambaneni wadau Mungu Ni Wetu Sote.
Ohooooo, aisee umekuwa mvumilivu sana mkuu. Hongera sanaa, ndugu lakini nimejiuliza sana kwann upigwe BAN tena ni kwasababu ya huu uzi au ni kwa sababu ya michango yako kwenye nyuzi nyingine huko?
 
Kwa kweli ni yenyewe

Wakuu sjatoboa[emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063]

Waliopata hongereni sana
Mkawe watumishi wazuri
Pole sana mkuu, endelea kusubiri yumkini upo database.
 
Kitu ambacho huwa nakifurahia katika huu uzi ni kwamba, kila PDF itakayotoka kuna mtu/watu huwa wanakuja kutoa ushuhuda wamelamba asali. Hii ni tasfiri kwamba uzi huu umebeba wapambanaji wengi sana japo wengine huwa si wachangiaji wa mara kwa mara au ni wakimya tuu muda wote. Lakini pia inatupa matumaini katika wapambanaji tuliopo humu basi na sisi tu wanufaikaji. Tuzidi kupambana na kumuomba Mungu tufanikiwe.
 
Amiin
 
Amen....
 
Back
Top Bottom