HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilikuwa na Furaha sana Jana,nikawa Sina Cha kuandika kabisa.
Kuna muda yesamrich alisema nikumbushe Taasisi Fulani,nikawa nipo mahali siwezi sema chochote.Ki ukweli Jana Usiku sijalala kabisa.Mungu ni mwema sana kaka
Kumbe!
Hongera sana kijana....
Ukipata usingizi unakosa
Ukipata usingizi unakosa pia

Aiseeee
Mambo ni noumer aisee
 
Asante mkuu Kwa nafasi Ila mm sitoweza kuwa Captain humu coz majukumu ya kazi soon yataanza ukicheck na nature ya kazi yangu ni ya Field zaidi.. Humu nitaingia mara mojamoja tu kuwasabahi na kucheck kinachojiri
Mwifwa
Dk 10 za kuja kusabahi humu zinatosha kabisa
 
Tambala la u captain tunawabless
1. Mbanti
2. Kuna yule jamaa wa Manyoni alibadili jina kuwa luagampina then now anatumia sawadogo
3. abechee
4. Kuna huyu madam juzi kati alichanganya malegend wakamuonya, anasubr keka la mda & LGA, anajiita yaserich kama sijakosea.
 
Back
Top Bottom