HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Guys nimepata Kazi...mimi Ndio muanzilishi wa huu Uzi sema Account ilipigwa BAN.
Ila tuendeleee kupambana.

Nimepata kaz bila connection.
Japo nilikandwa Taasisi kama 5 uko Nyuma.
Sikutegemeea kupata kazi.

Ila tupambaneni wadau Mungu Ni Wetu Sote.
Hongera sana mkuu,umepata kazi lini?
Mbona umeandika kifup sana jamn[emoji3061]
Em tusmlie kiref,legend mwenye uz wake
 
Hongera sana mkuu,umepata kazi lini?
Mbona umeandika kifup sana jamn[emoji3061]
Em tusmlie kiref,legend mwenye uz wake
Mkuu nikifuata Barua nitakuja kwa kutuliiia...
Nieleeeze kila kituu. Humuu.
Maana huu Uzi bado haujamaliza Mwaka ila ushuhuda watu wametooa wengi sana.

Mimi naye nimebahatikaa kupata..
Kikubwa tupambaneee
 
Yan kwa utumishi kama haufaulu saili zao we unahesabika ni kilaza tu hata kama umesoma Harvard alaf chuo akimfanyi mtu awe competent, being competent it's just the matter of your own intelligence.
- nani kakudanganya maswali yale manne/ matano Ndio kipimo Cha U-Genius?
-kwa hiyo wewe wa IFM unajilinganisha na wa Harvard,? Vigezo vya kujiunga IFM division hadi Three, Harvard je?
 
- nani kakudanganya maswali yale manne/ matano Ndio kipimo Cha U-Genius?
-kwa hiyo wewe wa IFM unajilinganisha na wa Harvard,? Vigezo vya kujiunga IFM division hadi Three, Harvard je?
Acheni huu upuuzi wa kuringishiana vyuo mlivyosoma, Kuna watu tumesoma vyuo vyenye profile kubwa bongo lakin tukienda utumishi tunakandwa! profile ya chuo na kufaulu interview za utumishi ni vitu viwili tofauti! By the way, kusoma chuo chenye profile kubwa sio kipimo Cha kuwa wew ni intellect sana kuzid hao waliosoma hivyo vyuo unavyoviona kama ni low class! Yamkini! pepa tu la form six lilikuja upande wako ukapata nafasi ya kwenda hicho chuo, au ulibebwa tu na GPA ya kupewa toka diploma! Let's stop this nonsense and pray to God that we get the chance to enjoy the national cake, Period!
 
Jaman kwenye kipengele cha INORGANIC LAB SCIENTIST walihtajika wakemia wanne...ila hapo ni kama wametoa majina mawili na majina hayo yapo mwisho mwisho...hao wawili watakuwa wapi????
Hawajafikia minimum pass mark zinazotakiwa, hawajafaulu.
 
Guys nimepata Kazi...mimi Ndio muanzilishi wa huu Uzi sema Account ilipigwa BAN.
Ila tuendeleee kupambana.

Nimepata kaz bila connection.
Japo nilikandwa Taasisi kama 5 uko Nyuma.
Sikutegemeea kupata kazi.

Ila tupambaneni wadau Mungu Ni Wetu Sote.
Hongera Sana na asante kwa kuanzisha uzi huu hakika umeleta impact kubwa sana vijana wenzako Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom