El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,070
- 6,467
si mchezo jamaa wanatia stress vibayalakini tangazo post mtu 1 ,tutafika utumishi wa umma tukiwa tumechoka sana .
si mchezo jamaa wanatia stress vibayalakini tangazo post mtu 1 ,tutafika utumishi wa umma tukiwa tumechoka sana .
Education watatoa tu kuna kada kupata kazi ni ngumu
Ngoja tusubilieEducation watatoa tu kuna kada kupata kazi ni ngumu
Hapana sidhani kama upo sawa jana walitoa majina ya data base kutokea tarehe 16-12-2025 hadi tarehe 20-07-2026 lakini leo wametoa tena mkeka wa data base kuanzia tarehe 29-09-2025 hadi 18-08-2026. Unaweza kujionea mwenyewe kwamba zoezi bado ni endelevu kuandika hizo tarehe haimaanishi kwamba mkeka ukikupita ndio basi tena.Kazi ipo,,, ukiangalia PDF ya jana inaonyesha walifanya usaili kati ya mwezi wa 12 mwaka 2025 na mwezi wa 7 mwaka 2026 ..
Ina maana kama ulifanya oral mwaka jana kuanzia mwezi wa 8 , 9 , 10 , na 11 ndiyo bye bye ,, usubilie status ya " your data bank has expired " au wataanza kurudi nyuma Tena kuchukua watu katika hiyo miezi niliyotaja juu hapo ??..
Hivi wakiandika kati ya 12 mwaka jana na 7 mwaka huu humaanisha kuanzia 12 last year hadi 7 this year au inakua inacover miezi iliotajwa tu yani 12 na mwezi wa 7?Kazi ipo,,, ukiangalia PDF ya jana inaonyesha walifanya usaili kati ya mwezi wa 12 mwaka 2025 na mwezi wa 7 mwaka 2026 ..
Ina maana kama ulifanya oral mwaka jana kuanzia mwezi wa 8 , 9 , 10 , na 11 ndiyo bye bye ,, usubilie status ya " your data bank has expired " au wataanza kurudi nyuma Tena kuchukua watu katika hiyo miezi niliyotaja juu hapo ??..
Nasukuru nimekuelewa vizuri sanaHapana sidhani kama upo sawa jana walitoa majina ya data base kutokea tarehe 16-12-2025 hadi tarehe 20-07-2026 lakini leo wametoa tena mkeka wa data base kuanzia tarehe 29-09-2025 hadi 18-08-2026. Unaweza kujionea mwenyewe kwamba zoezi bado ni endelevu kuandika hizo tarehe haimaanishi kwamba mkeka ukikupita ndio basi tena.
Kwa uelewa wangu kama ntakuwa nakosea naomba kurekebishwaHivi wakiandika kati ya 12 mwaka jana na 7 mwaka huu humaanisha kuanzia 12 last year hadi 7 this year au inakua inacover miezi iliotajwa tu yani 12 na mwezi wa 7?
Unapiga interview kabisahivi hizi kazi za kujitolea nazo unafanya interview au wanawaita tu..?
December hiyo inakuhusuu kuingia kwenye interviewNimebaki na Received Moja ya Tangu mwezi wa 8 mwaka Jana. MDA&LGA Afisa Hesabu
duhhUnapiga interview kabisa
Aisee nikafkiri Wameifuta! Maana Kulikua na Nyingine ya Mwezi wa 10 mwaka jana cha ajabu ya mwezi wa 10 ilianza hii ikabaki. Mkuu nipe za Ndani zaidiDecember hiyo inakuhusuu kuingia kwenye interview
Mungu aingilie Kati. Mwili na Akili vyote vimechoka! Ngoja tuone Round HiiDecember hiyo inakuhusuu kuingia kwenye interview
mie mwenyewe nina received ya mwaka jana nikajua washaifutaAisee nikafkiri Wameifuta! Maana Kulikua na Nyingine ya Mwezi wa 10 mwaka jana cha ajabu ya mwezi wa 10 ilianza hii ikabaki. Mkuu nipe za Ndani zaidi
Mbona maelezo yanaeleweka mkuu.Hv n mm tuu sijaielewa hili jibu la utumishi au?
Mana binafsi naona n kama vile amejibu kwa kumaanisha passed n kitu kingine na stored in data bank ni kitu kingine, au nyie mmeelewa vp?
View attachment 3666291