HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yaan natamani sana, ila nkitoka asubuhi ndo mpaka usiku narudi tu nalala
Umeshapata job ya Utumishi wa Umma mkuu?
Niambie ili nifurahi, maana'ke wewe ni miongoni mwa tulio"haso" nao pamoja kwenye mikando ya pale Asha Rose Migiro.
 
siku nyingine tena,bado kilio chetu cha database kimepuuzwa, hata tamko lolote hawajatoa . pdf wakitoa ni KB10 haloo bongo kutusua ni mtiti
 
Usaili wa PSRS unaitaji mtu awe vizuli sana kuchanganua mambo, ufikiri haraka na uwe na majibu sahihi zile 5 point kwa maswali ma 4 kama ni IQ na kupima ufanisi wa akili ya msailiwa mi naona wamefanikiwa, ku handle pressure ya yale maswali sio pouwa, naona kama vile nili experience interview moja nzito sana nilizo fanya compared na za private sectors nilizofanya i was very comfortable in sail za private sectors.
Mheshimiwa, umeshapata mrija wa asali tufurahi pamoja?
 
M
Mkuu wewe ni lijendi tuliyehaso pamoja kutika ukandwaji, umepata job wapi mkuu?
Mkuu inaonesha unaingiaga kwa kuvizia humu,,, So mambo mengi yanakupita. Actually watu wengi wamelamba Asali humu kupitia mikeka ilivyotoka katikati na mwishoni mwa Ferbuary.
Watu wamelamba Asali TRA, TARI, ASA, NIRC, PSRS, Wizara ya kilimo na taasisi kibao tu.
Na wengi wao washakimbia humu kwa kuwa washatimiza kile walikuwa wanakihitaji Ila si wengine tupo kwa kuwa tushafanya JF ni sehemu ya Maisha yetu hata kama majukumu yakitamalaki huko Job but hatutoshindwa kuingia humu mara mojamoja
 
Mkeka utauona wa mchongo kwa kua jina lako halipo,ila likiwepo utauona ni wa maana sana hata iwe 1kb[emoji23]
Labda kama you don't care about ur fellows!
But if you care kwa kumaanisha..kufuata barua utafuata na asali utalamba kama kawaida ila still utakwa unauona ubabaishaji unaoendelea
Yaaan sema kwa ujumla kibongobongo mtu akishapata ulaji wa yeye mwenyewe.....akajihakikishia kwamba yy na jamaa wake wa karibu mrija wa asali unalambwa kwa kiasi chake ndo atawaza about others na wala hutaona anajihusisha kwenye mapambano ya wenzake wapate...ndo maana unaona sasa hv kuna mjadala mzito kuhusu bodaboda...wapo wanaosema ni kazi kama kazi zngne ingawahe watoto wao hata hawawezi thubutu hata kuifanya...
Na wapo wanaosema ni kazi ya laaana ambao wanajaribu kufumbua watu macho kwamba ni kazi sawa but wapo walosababisha hadi ionekane ni kazi licha ya changamoto zake lukuki...

Kwa hyo nachotaka kusema hapa ni kwamba.....kuonekana kwenye PDF hakumfanyi mtu kutokuaddress na kuendelea kuona yanayoendelea kule ndani kama ni.... au basi ngoja niishie hapa
 
Duh,nadhan tumeongea lugha mbili tofaut hapo
 
Hizi 176 ni zipi mkuu? Au kuna ajira mpya 176 zitatangazwa za TRA?

Akijibu maswali ya wabunge kwanini TRA hawapewi staff wa kutosha kwa kile wabunge walichosema inakabiriwa na upungufu wa watumishi 2,000 kwa sasa, waziri mwenye dhamana alidai kibali kilitolewa cha watumishi 2,100 na awamu ya kwanza walichukua 1,500 na hivi karibuni wapo mbioni kuchukua 500 (kimsingi ndio hawa wa juzi) lakini akadai wapo katika harakati za mwishoni kukamilisha kibali cha hao 100+ waliobakia.

Hebu tafuta YouTube uone mwenyewe.
 
Tamko la database lilitolewa na mwanasiasa ambae siyo Mtendaji mkuu wa utumishi lakini lawama mnapeleka kwa utumishi. Navyojua mimi katibu mkuu ndo Mtendaji mkuu, kama angetoa yeye tamko nadhani mngekuwa na nguvu ya kulaumu
inamaana waziri hajakaa na management yake mpaka anaongea vile...vyombo vya habari kavilipa yeye kutangaza inshu hiyo!!!!tusitete ujinga ungesema yupo jukwaa la siasa anaongea hy habar hapo sawa
 
Back
Top Bottom