HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mie juzi tu nimefanya Interview ktk hizo NGO'S sahili unaingia unaulizw kbs upo comfortable na hii panel? Unasaini agreement then wanaanza kukuuliz maswal kulingana na cv yako na maswal yao mawil matatu ya kukupima Intelligence basi.
Mkuu bila shaka una connection matata sana, kwa NGO makini haiwezi kuendesha sahili namna hiyo, otherwise candidate amefika pale kwa ki-memo.
 
Hapo kwa database binafsi siwaungi mkono psrs, naona ni aina tu ya mwanya, kuruhusu upendeleo, haiwezekani aliyetoka database kwa post ya katibu msaidizi wa bunge, kwa kua alifaulu, umpangie kazi ya uhasibu taasisi x, hii sio sawa.
Umeona sasa point yangu kuwa kuna vilaza wanapelekwa ktk taasisi?
 
Hujui unachoongea na hujawahi kukutana na waajiri we endelea kwenda Dodoma tu ukajibu types of, list, define.
Nimeshawahi kukutana na hao waajiri na kuhudhuria sahili panse zote. Na hakikia Dodoma sitaacha kwenda mpaka nifanikishe kile nilichokusudia.

Mentio type question zina tofauti gani na tell us about strength and weakness, wote wanajibu kwa kukalili tu.
 
Mkuu bila shaka una connection matata sana, kwa NGO makini haiwezi kuendesha sahili namna hiyo, otherwise candidate amefika pale kwa ki-memo.
Wala, tulikuw 4 tu. Nafasi mbili.

NGO'S wanazingatia sana muda wa mtu. Mpk wamekuita ujue umekidhi vigezo unaenda sasa ku prove ulichoandika ni uhalisia na kilichopo kichwani? Experience ni experience tu huwez danganya uzoefu.
 
Nimeshawahi kukutana na hao waajiri na kuhudhuria sahili panse zote. Na hakikia Dodoma sitaacha kwenda mpaka nifanikishe kile nilichokusudia.

Mentio type question zina tofauti gani na tell us about strength and weakness, wote wanajibu kwa kukalili tu.
sawa bwana karibu nakunywa beer hapa
 
Nchi za nje interview unafanyiwa unakuta panelist hawazidi 4 sometimes 3 tu. Bongo unakutana na watu hadi 7 wote wanamuinterview mtu mmoja. Kuna watu wanaloose confidence kabisa.

Nilifanyaga interview kwenye international organization moja hv, kwanza nimeingia nikakutana na wazungu 2 na wabongo 2. Mzungu 1 alikua mwanaume akaniletea maji ya kunywa, mama mzungu akawa ananipigisha stori za kiswahili tukawa tunacheka sana. Baada ya hapo tukaanza interview

Maswali yao ni simple tu hawana mambo mengi. Ila bongo ni nyoso unakutana na mtu anakufanyia interview kanuna balaa[emoji23]
Hatari sana na kavaa shati la kitenge na mustache kaacha kama RSM wa kikosi cha jeshi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeona sasa point yangu kuwa kuna vilaza wanapelekwa ktk taasisi?

Mtu kuwa database haimaanishi ni kilaza, sababu watu ndio hawa hawa wanafeli interview hii ijayo wanafaulu, kwani ndani ya mwaka mmoja inawezekana kuwa mtu alirudi chuo kusoma tena degree ili afaulu interview mwaka unaofuata?

Ukweli ni kuwa system za masailiano si ajabu zikaacha watu makini na kuchukua wasio makini simply waliotea maswali. Nafikiri oral interview ingebase sana katika kuipima IQ ya canditate katika kusolve daily routine na kuhandle pressure ya kazi.
 
Nimeuliza je hao waliopo database mwajiri anahusika nao moja kwa moja?
Hii ni serikali na sio private sector na imethibitisha vyuo fulani vina hadhii ya kutoa course fulani, selikali inaamini graduate wote wanao maliza vyuo vilivo thibitishwa na TCU vina ubora wa kutosha kuwaandaa hao graduate katika standard inayo takiwa, ndo maana ushaona wanafungia vyuo kadhaa kama hawato kidhi ubora.

Kwa maana hio kwasababu ni ajira za serikali na wanaamini as long una cheti kilicho thibitishwa na chuo husika ambacho ni recognized na TCU una uwezo wa kui handle io kazi baada ya kupewa tranning, ndo maana zile kazi nyeti na zinazoitaji experience au watu wenye zaidi ya vigezo fulan example lectures, lazima waiitishe usaili tena mwajiri awepo hawachukui database. Ila kama ulifaulu wao wanamini unaubora huo coz vyuo vime thibitishwa na wao wenyewe itakuwa kituko kuku kataa kuona huja kidhi vigezo, ila kwa zile nafasi ambazo kazi zako hazitaitajika sifa zaid wanachukua kutoka database


Mawazo yangu naomba kuwasilisha.
 
Ukweli ni kuwa system za masailiano si ajabu zikaacha watu makini na kuchukua wasio makini simply waliotea maswali. Nafikiri oral interview ingebase sana katika kuipiga IQ ya canditate katika kusolve daily routine na kuhandle pressure ya kazi
IQ waipime kwa namna gani sasa?
 
Hii ni serikali na sio private sector na imethibitisha vyuo fulani vina hadhii ya kutoa course fulani, selikali inaamini graduate wote wanao maliza vyuo vilivo thibitishwa na TCU vina ubora wa kutosha kuwaandaa hao graduate katika standard inayo takiwa, ndo maana ushaona wanafungia vyuo kadhaa kama hawato kidhi ubora.

Kwa maana hio kwasababu ni ajira za serikali na wanaamini as long una cheti kilicho thibitishwa na chuo husika ambacho ni recognized na TCU una uwezo wa kui handle io kazi baada ya kupewa tranning, ndo maana zile kazi nyeti na zinazoitaji experience au watu wenye zaidi ya vigezo fulan example lectures, lazima waiitishe usaili tena mwajiri awepo hawachukui database. Ila kama ulifaulu wao wanamini unaubora huo coz vyuo vime thibitishwa na wao wenyewe itakuwa kituko kuku kataa kuona huja kidhi vigezo, ila kwa zile nafasi ambazo kazi zako hazitaitajika sifa zaid wanachukua kutoka database


Mawazo yangu naomba kuwasilisha.
Bado hai-justify kupitisha watu kwa lango la database. Waitishe usaili, watakaoshinda waende, mbona huko kwenye "kazi nyeti" tunaoa re-advertise mara kadhaa?
 
Bado hai-justify kupitisha watu kwa lango la database. Waitishe usaili, watakaoshinda waende, mbona huko kwenye "kazi nyeti" tunaoa re-advertise mara kadhaa?

Ni utaratibu waliuweka, huko kwenye hizo kama mtu hakufikia marks watamchukua tuu?

Kwanza wangetafuta njia nzuri za masailiano maana anayefeli leo ndo anafaulu kesho sasa kuna kuwa na nini kimebadilika hapo?
 
Back
Top Bottom