176 wa kutoka wapi?Bado wanasubiri Kibali cha wale 176 waende sambamba
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
176 wa kutoka wapi?Bado wanasubiri Kibali cha wale 176 waende sambamba
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huo ndo ukweli sasa. Taasisi haiendeshwi kimatamko bali kwa sheriainamaana waziri hajakaa na management yake mpaka anaongea vile...vyombo vya habari kavilipa yeye kutangaza inshu hiyo!!!!tusitete ujinga ungesema yupo jukwaa la siasa anaongea hy habar hapo sawa
Ila yeye ndiye mwenye dhamana ina maana aliota kuwa kuna watu 1769 kwenye database.Tamko la database lilitolewa na mwanasiasa ambae siyo Mtendaji mkuu wa utumishi lakini lawama mnapeleka kwa utumishi. Navyojua mimi katibu mkuu ndo Mtendaji mkuu, kama angetoa yeye tamko nadhani mngekuwa na nguvu ya kulaumu
Ushashiba mkuu,tayari humjui mwenye njaa! kwani waziri si ndio boss wao utumishi?Tamko la database lilitolewa na mwanasiasa ambae siyo Mtendaji mkuu wa utumishi lakini lawama mnapeleka kwa utumishi. Navyojua mimi katibu mkuu ndo Mtendaji mkuu, kama angetoa yeye tamko nadhani mngekuwa na nguvu ya kulaumu
Yeye ana taarifa kwa sababu anahusika na usimamizi wake, ila hata leo anaweza kubadilishwa hiyo wizara. Sasa watu kutwa mnalalamika kuhusu database while hujui hata kama upo. Siku ikitoka usipokuwepo tena uanze kulalamika kuwa utumishi ni jipuIla yeye ndiye mwenye dhamana ina maana aliota kuwa kuna watu 1769 kwenye database.
Umeshawai kusikia wapi wizara Katibu akatoa tamko au akaitisha waandishi wa habari....mfno mzuri ni tamisemi anayetoa matamko ni nani Ya ajira?....Huo ndo ukweli sasa. Taasisi haiendeshwi kimatamko bali kwa sheria
Mkuu hata kama ningekuwa sijashiba, ila always huwaga na trust the process. Naamini wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Ndo maana interview zote nilizofanya na kukosa hujawahi kuona nalalamika japo nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa huu uzi tangia unaanzishwaUshashiba mkuu,tayari humjui mwenye njaa! kwani waziri si ndio boss wao utumishi?
Habr ya database mbona inachangany sana lkn for me naona ipo very clear.inamaana waziri hajakaa na management yake mpaka anaongea vile...vyombo vya habari kavilipa yeye kutangaza inshu hiyo!!!!tusitete ujinga ungesema yupo jukwaa la siasa anaongea hy habar hapo sawa
Haya sasa hiyo TAMISEMI anayeajiri huwaga ni katibu mkuu. Waziri amekuja amekuta kila kitu kimeshapangwa yeye kazi ni kukisimamia tuUmeshawai kusikia wapi wizara Katibu akatoa tamko au akaitisha waandishi wa habari....mfno mzuri ni tamisemi anayetoa matamko ni nani Ya ajira?....
so mkuu unataka kusema mhagama si chochote pale? ila angesema katibu mkuu ndio ange eleweka.Mkuu hata kama ningekuwa sijashiba, ila always huwaga na trust the process. Naamini wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Ndo maana interview zote nilizofanya na kukosa hujawahi kuona nalalamika japo nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa huu uzi tangia unaanzishwa
Yeye ana taarifa kwa sababu anahusika na usimamizi wake, ila hata leo anaweza kubadilishwa hiyo wizara. Sasa watu kutwa mnalalamika kuhusu database while hujui hata kama upo. Siku ikitoka usipokuwepo tena uanze kulalamika kuwa utumishi ni jipu
Ukishashiba Bwana siku zote ukumbuki mwenye njaaa.....Haya sasa hiyo TAMISEMI anayeajiri huwaga ni katibu mkuu. Waziri amekuja amekuta kila kitu kimeshapangwa yeye kazi ni kukisimamia tu
Hatma ya ajira kwa sekta ya umma inaamuliwa na wanasiasa, na ndio maana hata swala la upungufu wa watumishi TRA, alilijibu waziri, kwa nini unafikiri hakujibu Bwana Kidata, kama mkurugenzi wa mamlaka.Tamko la database lilitolewa na mwanasiasa ambae siyo Mtendaji mkuu wa utumishi lakini lawama mnapeleka kwa utumishi. Navyojua mimi katibu mkuu ndo Mtendaji mkuu, kama angetoa yeye tamko nadhani mngekuwa na nguvu ya kulaumu
Ulikua unafatilia kwa ID gani mkuu? Naanisha ile ID yako ya awali humu kama unachokizungumza ni sahihi.Mkuu hata kama ningekuwa sijashiba, ila always huwaga na trust the process. Naamini wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Ndo maana interview zote nilizofanya na kukosa hujawahi kuona nalalamika japo nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa huu uzi tangia unaanzishwa
Vyovyote itavyokua, utekelezaji wa hili swala lina ukakasi kwa namna yake. Mfano, tangazo la mwisho placement, katika maelezo yao wanasema, waliofauli sahili na kupata kazi,.. Wameenda mbali zaidi kuwa, majina yale pia yanahusisha watu toka database baada ya kupatikana nafasi.Habr ya database mbona inachangany sana lkn for me naona ipo very clear.
Watu waliopo database inasemekana ni 1700+
Sasa je wanaajiriwa wote kwa wakati mmoja au kidogo kidogo kulingana na uhitaji!?
Jibu na kinacho fanyika ni kwamba, kila placement ukichunguza kuna watu wametoka database kulingana na sifa ya aliyeko na aina ya kazi.
Na hiyo database inaexpire baada ya mwaka 1 tofauti na zamani miezi 3.
So to say ukiwa database zikitoka placement wanachomoa wachache wachache mfano placement za juzi za psrs tumeshuhudia nguvu ya database hata placement zilizopita pia.
Mi naona tuwe na subira tusi force mambo kwa kuji blind.
Sote tupo msoto mtaani lkn tushkur hata matumaini kwa sasa ukilinganisha na awamu iliyopita.
Huyo meanza kufuatilia namna serikali inaendesha mambo yake hivi karibuni tu, hajui kuwa hata huyo katibu mkuu leo pia anaweza hamishwa hapo na kupangiwa majukumu mengine.Hii ni platform huru hauwezi kumpangia mtu asijadili hiki ama kile, na ikiwa ana afford bundle pasipo your assistance [emoji1]. Swali la kizushi kwahiyo huyo katibu ndio kawekwa superglue hawezi kutoka?
Tukirudi kwenye mada kama wanaweza kumpa mpango kazi wao, anashindwaje kujua ni kipi akitolee maelekezo?
Unatambua kwamba psrs katika sheria na kanuni zake inatambua uwepo wa database?Huo ndo ukweli sasa. Taasisi haiendeshwi kimatamko bali kwa sheria
Uhalisia wamechukua database maana hawajawahi tangaza hizo nafasi na watu wakafanya sahil, changamoto niliyoiona hapo for my side ni copy and paste of past headings.!Vyovyote itavyokua, utekelezaji wa hili swala lina ukakasi kwa namna yake. Mfano, tangazo la mwisho placement, katika maelezo yao wanasema, waliofauli sahili na kupata kazi,.. Wameenda mbali zaidi kuwa, majina yale pia yanahusisha watu toka database baada ya kupatikana nafasi.
Lakini hawa wakandaji hawakuweka tangazo la kazi, kwanini wasiweke maelezo sahihi ku-reflect kile walichodhamiria?