Mwangu1024
Member
- Feb 6, 2023
- 91
- 179
Af na lile tangazo la placements za Jana mbn wameliondoa
Af na lile tangazo la placements za Jana mbn wameliondoa
Kunaplacements walitoa jana wakaziondoa? Zilikua za kada gani?Af na lile tangazo la placements za Jana mbn wameliondoa
Mfano wa kibislaamali huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama choo cha mbuzi.Database inatoka kidogo kidogo kama choo kikubwa Cha mbuzi, mnastuka paa imeisha
Lipo mkuu washalirudishaAf na lile tangazo la placements za Jana mbn wameliondoa
Wamechange Trh Tu lkn ndy ilo la trh 7Kunaplacements walitoa jana wakaziondoa? Zilikua za kada gani?
Daah kwel naona wamerudishaWamechange Trh Tu lkn ndy ilo la trh 7
Daah ww acha tu na jua Kali atarutumushi wangetoa list yawatu waliopo database kitaa sio poah
*+Mpauko aisee sio wa nchii hii..Daah ww acha tu na jua Kali atar
Hayo ni matakwa ya Mwajiri Inawezekana anataka awapate watu wake freshy kulingana nahitaji yake,, hataki hao waliochwa kutoka taasisi za nyuma.Hili tangazo dah mbona ICT wamefanya usahili juz Tu hivyo kwenye database wapo kibao hata hao medicine, statistics and political science si walifanyisha muhas, mda na nyingine jaman.
Mbona wanatangaza wakat database Wana watu na wanakinzana na kanuni zao
Asa kanzidata ina maana ganiH
Hayo ni matakwa ya Mwajiri Inawezekana anataka awapate watu wake freshy kulingana nahitaji yake,, hataki hao waliochwa kutoka taasisi za nyuma.
Kwahyo hii/hili pia linaweza kuwa ni sababu mkuu
Watu watakula wap posho za kusimamia usail...!!!Hili tangazo dah mbona ICT wamefanya usahili juz Tu hivyo kwenye database wapo kibao hata hao medicine, statistics and political science si walifanyisha muhas, mda na nyingine jaman.
Mbona wanatangaza wakat database Wana watu na wanakinzana na kanuni zao
mkuu mambo ni magumu mnoWebsite ya utumishi saa hivi tumekuwa tukiitembelea kila wakati kama mie hapa kila baada ya dakika tatu naenda kuangalia pale kwenye placement.
psrs mtatuuwa tuko chini ya miguu yenu hemu toeni hayo majina ya placement kuanzia November hadi february , pamoja na ule mpidiefu wetu pendwa wa data base tujue moja mnatutesa sana na stress😭
I hope hii ni assumption tuu Mkuu.H
Hayo ni matakwa ya Mwajiri Inawezekana anataka awapate watu wake freshy kulingana nahitaji yake,, hataki hao waliochwa kutoka taasisi za nyuma.
Kwahyo hii/hili pia linaweza kuwa ni sababu mkuu
Ndiyo maana nikasema "linaweza/inaweza kuwa ni sababu"I hope hii ni assumption tuu Mkuu.
Database list iko kidogo sana, nikama Amana kabisa.utumushi wangetoa list yawatu waliopo database kitaa sio poah
Io list ipo wapi? Database ni mambo ya kusadikika.Database list iko kidogo sana, nikama Amana kabisa.
Na ndio maana unaona Kuna job advatise mpya za mwezi huu lakini kada ni zilezile zinajirudia za miaka ya nyuma