HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bado hai-justify kupitisha watu kwa lango la database. Waitishe usaili, watakaoshinda waende, mbona huko kwenye "kazi nyeti" tunaoa re-advertise mara kadhaa?
Hapana wapo sahihi kwa upande wangu, coz wakisema waliokuwa database hawaja qualify, bac warudi ku set standard upya za vyuo vinavyo kua recognized na TCU, ila private sector ana haki ya kubagua na sio serikali haina haki ya kubaguwa coz wao ndo wahusika wa ku set standard ya graduates katika vyuo.
 
Unafikiri kwa mfano, majukumu ya katibu mkuu msaidizi wa bunge, ni sawa na majukumu ya muhasibu kwenye taasisi au shirika la kiserikali?

Ni nini kinachopelekea hawa watu wa kada tofauti kufanya sahili zisizofanana? Kwanini aliyekosa nafasi taasisi Y kwa kishindwa katika usaili, apelekwe taasisi X bila ya usaili, nini lengo la kufanya usaili?
 
Usaili wa PSRS unaitaji mtu awe vizuli sana kuchanganua mambo, ufikiri haraka na uwe na majibu sahihi zile 5 point kwa maswali ma 4 kama ni IQ na kupima ufanisi wa akili ya msailiwa mi naona wamefanikiwa, ku handle pressure ya yale maswali sio pouwa, naona kama vile nili experience interview moja nzito sana nilizo fanya compared na za private sectors nilizofanya i was very comfortable in sail za private sectors.
 
Unafikiri kwa mfano, majukumu ya katibu mkuu msaidizi wa bunge, ni sawa na majukumu ya muhasibu kwenye taasisi au shirika la kiserikali?

Ni nini kinachopelekea hawa watu wa kada tofauti kufanya sahili zisizofanana? Kwanini aliyekosa nafasi taasisi Y kwa kishindwa katika usaili, apelekwe taasisi X bila ya usaili, nini lengo la kufanya usaili?
Moja kama uli fail huwez pangiwa kazi, Coz wanampangia alie faulu ila akakosa nafasi, pili unapangiwa sehemu ambayo course yako inafit kama ulikosa na fasi taasis A basi utapangiwa B kama course yako ina fit na ulifaulu, coz wao wanaamini vyuo vyao vya serikali vina standard ya ku produce qualified graduates kwa kazi mbali mbali na ambao hawawez basi wali disco.
 
Kaka nakutolea mfano katika interview ya TRA kuanzia written mpaka oral staff wa TRA walikuwepo kusimamia. Katika pannel ya oral watu wa utumishi walikuwa na kazi ya kufuata watu kwenda kwenye hall la interview na mmoja aliyekuwepo ndani alikuwa kama katibu, the rest walikuwa ni staff wa TRA. (Na hii huwaga ipo hivi kwenye kada zote) sasa unasemaje wanapelekwa watu vilaza ikiwa waliohusika kwenye interview ni hao hao?

Dah kwa iyo Mda na Lga walikuwepo watu wa halmashauri!
 
Moja kama uli fail huwez pangiwa kazi, Coz wanampangia alie faulu ila akakosa nafasi, pili unapangiwa sehemu ambayo course yako inafit kama ulikosa na fasi taasis A basi utapangiwa B kama course yako ina fit na ulifaulu, coz wao wanaamini vyuo vyao vya serikali vina standard ya ku produce qualified graduates kwa kazi mbali mbali na ambao hawawez basi wali disco.
Mkuu unafikiri kwa nini psrs wanatumia "sequencial picking" na sio "random picking" baada ya kufunga usaili wa Oral kwa wale wote waliopata 50%+?
 
Mtu kuwa database haimaanishi ni kilaza, sababu watu ndio hawa hawa wanafeli interview hii ijayo wanafaulu, kwani ndani ya mwaka mmoja inawezekana kuwa mtu alirudi chuo kusoma tena degree ili afaulu interview mwaka unaofuata?

Ukweli ni kuwa system za masailiano si ajabu zikaacha watu makini na kuchukua wasio makini simply waliotea maswali. Nafikiri oral interview ingebase sana katika kuipima IQ ya canditate katika kusolve daily routine na kuhandle pressure ya kazi.
Watu wanafaulu kwa kukariri ndugu. Na mtu kutoka kada aliyofaulu unaenda kumpangia kada nyingine ambayo hamkumfanyia usahili unaonaje hapo? Anaweza asiwe kilaza ktk ile kada aliyofika Oral na kukaa database ila akaw kilaza ktk kada atakayokuw placed.
 
Kwenye hili la database binafsi naona psrs wamepotoka. Haileti maana yoyote ile kumpangia mtu kazi kwa database.
 
Mkuu unafikiri kwa nini psrs wanatumia "sequencial picking" na sio "random picking" baada ya kufunga usaili wa Oral kwa wale wote waliopata 50%+?
Very simple, serikali inaamini waliomaliza chuo na wan vyeti ambavyo recognized na TCU wanakidhi kufanya kazi zote za kitu walichosomea, ila huwezi kuwachukua wote coz nafasi ni chache nyakat hizo tuliweza kipindi fulani tuliajiri walimu wote walio maliza ila sio sasa inabid competition iwepo,.

ambapo ndo usaili unapokuja ili mtu asione kaonewa, sawa ulifauli lakini ulizidiwa( sequence) ndo inaingia hapo ili tu ku m reward aliekuwa juu, alie faulu atasubir taasis B coz alifaulu na coz yake ina fit kazi za alichosomea na serikali inaami yy ni qualified ila private sector baadhi hawaajir adi watu waliomaliza vyuo fulani ila serikali haiwezi fanya ivo yenyewe ndo imetoa permission kwa ivo vyuo..
 
Alafu watu wengi hawajui utaratibu mpk Usahili unaitwa..
Mwajiri ndio anaamua je huyo mtu atoke Database au usahili uitwe (kupambania)

Ndio maana kuna kada unajiuliza mbn hawa watu watakuwepo database why wanaitisha usahili.
 
Kwa waliowah kufanya kazi watakubaliana nami kua hakuna kazi zinazohitaji kua kichwa sana, interview ipo kwasababu idadi ya watu ni kubwa tu Wala haisaidii chochote huko kazini. Kazi chache sana zinahitaj competence ya kutosha
Umesema ukweli.
 
Bado hai-justify kupitisha watu kwa lango la database. Waitishe usaili, watakaoshinda waende, mbona huko kwenye "kazi nyeti" tunaoa re-advertise mara kadhaa?
Unzingua na hoja yko hii haina mashikom...kanzidata ina umuhimu wake
 
Kwa waliowah kufanya kazi watakubaliana nami kua hakuna kazi zinazohitaji kua kichwa sana, interview ipo kwasababu idadi ya watu ni kubwa tu Wala haisaidii chochote huko kazini. Kazi chache sana zinahitaj competence ya kutosha
Kweli kabisa,mfano mimi Nina disability ya kusikia na miguu ,nimepambana wee mpaka nimefika oral ,Lakini wanaweza niacha Wakati kazi za ofisini siwezi shindwa....
 
Unzingua na hoja yko hii haina mashikom...kanzidata ina umuhimu wake
Kwahiyo unafikiri ni halali kama taratibu inasema ushindani utaendeshwa kwa usaili, na mshindi atapatikana kwa "sequencial picking" ikiwa tu, minimum passmark imefikiwa, iweje walioshindwa katika model hii, wapangiwe kazi katika taasisi nyingine pasipo kushindanishwa?
 
Mkuu hawajitungii ipo kwenye muongozo wao kuwa kutakuwa na kanzi data na namna ya kuwapangia watu kazi kupitia kanzi data wameeleza, hawawezi kufuata vile wewe unataka labda waziri mwenye dhamana aliambie bunge libadilishe kanuni kama alivyoongeza muda wa kanzi data kutoka miezi 6 kwenda miezi 12.

So ni utaratibu upo.
 
Back
Top Bottom