_saul
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 257
- 520
YaWanaitisha sahili kulinda maslahi yao , wazee wa per Diem hao 😆😆😆😆😆, wachomoe Data bezi [wasiitishw usahili si inakuwa against na matumbo yao mkuu ? QUOTE="_saul, post: 45567052, member: 699906"]
Hili tangazo dah mbona ICT wamefanya usahili juz Tu hivyo kwenye database wapo kibao hata hao medicine, statistics and political science si walifanyisha muhas, mda na nyingine jaman.
Mbona wanatangaza wakat database Wana watu na wanakinzana na kanuni zao
[/QUOTE]
Inabid wajitathimini